Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani we unaishi hapa ndio ujue watz wako hapa ama unataka nikupatie simu ubonge na hao
 
kwani we unaishi hapa ndio ujue watz wako hapa ama unataka nikupatie simu ubonge na hao
Wamekuja kugonga mademu wa kenya, nani ambae hajapata taarifa za kilio cha wanawake wa kikenya? Mfano ni Ali Kiba, kaja kaopoa kasepa. Kuna jamaa alikua anapiga story kwenye daladala jinsi alivyoshobokewa na demu wa kikamba na alomng'ang'ania mpaka akapata copy na kiTz n then jamaa akarudi zake. So hata wewe unaezakua una damu ya kiTz inarun through your veins
 
Chuki ni ya nn Godwin gen hapa jamii forums tunajifurahisha tu usichukulie vtu serious sana sasa hautaki nije Tanzania
Nliona majibu yako tokea jana. Unapewa sources na bado unabisha tena unaleta takwimu zako bila source. Kwa ubishi wa jana ukija tz ukahojiwa na uhamiaji watakuweka kwenye ambulance direct to Mirembe
 
Kugonga mademu wakenya c mbaya damu ya kitz in my veins pia c mbaya the thing between a woman thighs is the same ya mkenya ya mtz ya mzungu ya mchina ni same tu sasa hyo c point
 
Sasa tunaiba nn Tanzania kusema ukweli

Unajua kitu inaitwa tanzanite???

Actually hamuibi,baada ya kuona jirani zetu hamna kabisa natural resource identity duniani,tukafikiri si vibaya tukigawana umasikini-langueni tanzanite mkauzie kenya hamna tatizo.

Ha!!!!sasa mmeota mapembe mnaamsha nyangumi iliyolala na kuwapa hifadhi katkati ya kina cha bahari.
 
Kugonga mademu wakenya c mbaya damu ya kitz in my veins pia c mbaya the thing between a woman thighs is the same ya mkenya ya mtz ya mzungu ya mchina ni same tu sasa hyo c point
Sasa kama unakubaliana na hilo acha kelele baba yako anaweka mambo sawa akufunze jinsi gani huwezi kuendelea bila support yake na ni jinsi gani maendeleo yanakuja bila figisu na wizi.
 
We welcome Tanzanians with open arms in kenya but Kenyans are treated like suspects in Tanzania.....if everyone notices you are kenyan anageuka kukuangalia na kuku suspect....lol.
Kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,,ngoja nikwambie,Wakenya walioko Tz ni wengi kuliko Wa Tz walioko Kenya

Sehemu kubwa ya wa Tz walioko Kenya wapo maeneo ya mijini na hasa Nairobi,,but huku Tz Wakenya wametapakaa kuanzia mijini hadi Vijijini wanafuga na kulima free na hakuna mtu anawasumbua,,kuna Wakenya kibao wanalima vitunguu maeneo ya SINGIDA na MANYARA

Kwa Mkoa wa MARA pekee kuna jamii kubwa sana ya WAKISII na WANANDI hasa Wilaya ya SERENGETI wanalima na kumiliki makundi makubwa ya mifugo bila kubugudhiwa

Kwa hiyo hao wa Tz walioko Kenya inawezekana kabisa wasifike hata 25% ya idadi ya Wakenya waliopo Tz
 
Nliona majibu yako tokea jana. Unapewa sources na bado unabisha tena unaleta takwimu zako bila source. Kwa ubishi wa jana ukija tz ukahojiwa na uhamiaji watakuweka kwenye ambulance direct to Mirembe
Hapana c hivyo Godwin mm nilikubali kenya ina umaskini at 29% kama worldbank walivyosema umeona hyo post pia ilipostiwa na mkenya mwenzangu halafu ndugu yangu ichoboy analeta tweet yakuonesha percentage ya umaskini kenya mm cwezi kubali tweet ati hyo ndio source tweet ni maoni ya MTU binafisi tangu lini tweet zikuwe credible sources of information halafu watz wanaharibia kenya jina bure tu bila facts kenya is not perfect hyo nmekubali tunashida nyingi mno hyo nmekubali hao wenzako wanasema kenya has highest crime rate in Africa na wanataka nikubali hyo hapana ati wakenya wanakufa njaa tuko 2018 wanionyeshe penye wakenya wamekufa njaa i will not stand aside as Tanzanians take turns abusing my motherland na wambie kenya has high quality of life than tz
 
Sasa kwa njaa yote hiyo na kiu ya maji safi na huku wanajua Tz hakuna hiyo shida why wasije? Tungeijengea Tz ukuta wasipitishe chakula kwa njia za panya haki Kenya janga la njaa lingekua unbearable n yet wanajigamba humu. Halafu ni wachache sana wanaonunua chakula kwa njia ya halali
 
Fanya hivi TYWIN LANNISTER, leta sources hapa inayoonesha hiyo 29% ya Ke na hiyo 49.1% ya Tz that's all
 
Lol........u must be mad.in tanzania barely
10% have piped water
 
Fanya hivi TYWIN LANNISTER, leta sources hapa inayoonesha hiyo 29% ya Ke na hiyo 49.1% ya Tz that's all
C nafikiri umesema umesoma tuliyo ya jadili Jana rudi tena usome utaona post el matador ya worldbank ikionyesha poverty rate ya kenya ni 29% na pia ambia wenzako wanionyesha penye kenya iko na highest crime rate in africa wakenya wanakufa njaa 2018 waonyeshe ndio game ikuwe fare c kunilemea mm pekee yangu
 
Hahahaaaa unajisifia ujinga, pumbavu sana we jamaa hapo Darfu kuna watz kwenye peace keeping mission sisi sio wezi tunapenda amani, na tukiwakuta mtajuta kutufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…