TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
sasa mnapigania watu vita na hamujengi nchi yenu hawa watu wamezoea kutubeba ufala sana hzo minerals zote wako nazo znaweza geuza tz south Africa chini ya miaka tano nataka anijibu vizuri hyo story ya kutushow ati walikuwa wanapigania watu vita ndio maana hawajadevelop hyo c jibu i want an answerWatakuambia walikuwa wanapigania S.A na Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]
THIS TIME WAKACHONGE TANZANITE YAO KWA MIAMBA,Tuko busy kujenga nchi sio kuitangazia miji ya wenzetu uozo kufanya hivyo tutakua tunaiga culture ya kenya. Culture yetu ni kusaidiana na wenzetu na ndio maana tuliwaruhusu mkawa mnaongoza uuzaji wa Tanzanite kuwanyamazia mnavyotangaza vya kwetu kuwa ni vya kwenu coz tunajua hakuna marefu yasio na ncha
MMESAHAU MLIVYOWAFATA ALSHABABU KITU WAMEWAFANYA HAMRUDII TENA.sasa mnapigania watu vita na hamujengi nchi yenu hawa watu wamezoea kutubeba ufala sana hzo minerals zote wako nazo znaweza geuza tz south Africa chini ya miaka tano nataka anijibu vizuri hyo story ya kutushow ati walikuwa wanapigania watu vita ndio maana hawajadevelop hyo c jibu i want an answer
MMESAHAU MLIVYOWAFATA ALSHABABU KITU WAMEWAFANYA HAMRUDII TENA.
historia ni ww kupigania watu vita haimanishi hamujengi nchi yenu nataka jibu ctaki history mbna hamuko develop kama south africa with all your mineral wealth history peleka classHujui history wewe kasome ujifunze anzia hapo uganda tu wala usiende mbali 😂😂😂😂 ndio utafahamu tanzania ilitumia nini na nini kuzikomboa nchi za africa, mwalim nyerere hakua mchoyo hakua mbinafsi ndio maana alifanikiwa sana kuzikomboa nchi za africa
Tanzania ndio kwanza imeanza kutumia resources zake ipasavyo so tegemea mazuri zaidi ya unayoyaona leo na bahat nzuri mumekutana na fundi uncle magu👏👏
Uzuri wa dr ndii anawaambia ukweli ila hamuutaki kila anachowaambia ndicho munachokutana nacho 😁😁😁😁
Mfano ni huyu nae kajiita young Dar es Salaam
Sisi ni walinzi hodariHakuna asiejua kua Nairobi ni mbuga ya wanyama, nyie mnaishi huko ni walinzi wa wanyama.
Sisi ni walinzi hodari
View attachment 943760
kwa hyo total wealth MBNA daresalaam haijashinda nairobi huwa mnasema dar ndio largest city in east africa in terms of population dar iko hadi na port na ni coastal city mbona hamuko kwa hyo list tujibu hyo kwanza ctaki historyTaarifa ya total wealth ndio ishakua GDP leo nimecheka sana😂😂😂👏👏👏👏
Hajajibu hii
kdf imefanya kazi nzuri sanaa ndio maana leo Somalia iko na stable government FYI there is no war that bleeds one side nyinyi vle mlifurusha idi amin hakuna masoldier wa tz walikufa??? kdf is in somalia to stayMMESAHAU MLIVYOWAFATA ALSHABABU KITU WAMEWAFANYA HAMRUDII TENA.
kwa hyo total wealth MBNA daresalaam haijashinda nairobi huwa mnasema dar ndio largest city in east africa in terms of population dar iko hadi na port na ni coastal city mbona hamuko kwa hyo list tujibu hyo kwanza ctaki history
NYIE WALIKUJA KENYA MARA NGAPI??kdf imefanya kazi nzuri sanaa ndio maana leo Somalia iko na stable government FYI there is no war that bleeds one side nyinyi vle mlifurusha idi amin hakuna masoldier wa tz walikufa??? kdf is in somalia to stay
kdf imefanya kazi nzuri sanaa ndio maana leo Somalia iko na stable government FYI there is no war that bleeds one side nyinyi vle mlifurusha idi amin hakuna masoldier wa tz walikufa??? kdf is in somalia to stay
Why Al-Shabaab targets Kenyakdf imefanya kazi nzuri sanaa ndio maana leo Somalia iko na stable government FYI there is no war that bleeds one side nyinyi vle mlifurusha idi amin hakuna masoldier wa tz walikufa??? kdf is in somalia to stay
Umekosa official source ukaona ulete total wealth😂😂😂😂👏👏👏👏👏Sijawahi sikia umelia hata ukipigwa chenga.
Ndio tumeanza kujenga nchi just 10yrs munalia mukilia😂😂😂 alaf bahat mbaya sasa mumekutana na fundi magu bado ana 7 good years👏👏👏👏👏sasa mnapigania watu vita na hamujengi nchi yenu hawa watu wamezoea kutubeba ufala sana hzo minerals zote wako nazo znaweza geuza tz south Africa chini ya miaka tano nataka anijibu vizuri hyo story ya kutushow ati walikuwa wanapigania watu vita ndio maana hawajadevelop hyo c jibu i want an answer