Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don't now. I know. You mean purchasing power parity or what?
On what? If don't know uliza kuliko kujifanya unajua wakati hujui.
Let talk about uchumi.
Standard of living measured by GDP Per capita
Hii inamaana kwamba GDP/Population so you claim to own 74.94 billion USD GDP
Your population is 49.7 million right
Per Capita = 74,940,000,000/49,700,000 = 1507.8 USD
But Kenya GDP imewekwa 3,496 USD wakati Tanzania imewekwa 3,283 USD

So when we want to calculate GDP from Per capita

ninakupa Home work.
Population ya Tanzania ni 57.34mil
Tanzania Take 3283 x 57,340,000 = ?
Kenya 3496 x 49,700,000 = ?

Source:
What is the Richest Country in Africa?
 
Hapo kwa hiyo picha kuna Tpa, pspf towers, sasa uniambie hizo tower zikijengwa 2009?.......I remember tower ndefu wakati huo zilikua bot tower na ni 72m Kwa urefu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nionyeshe tpa na pspf haraka.
 
Si niliskia tuko 43% [emoji848][emoji848]
Hiyo ni unemployment rate. Tofauti poplulation of unemployed and the rate of growth of the population of unemployed.
 
Kumbe ii ujinga yako bado hujaacha
 
What exactly you wanna tell us!?
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 

Wapi umeona unga wa 1200tsh???
 
Huku tukisambaza maji vijijini chakuskitisha nairobi maji hakunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
Lol......you can't determine a country's output by taking ppp multiplied by population.....where did you learn vodoo economics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…