Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf mwishoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji116]View attachment 936418
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hawa watu wamezaliwa na ujinga, hii hata maombi haezi.

Wewee... Aliezaliwa mjinga ni mkenya hata wachina wameweka wazi na ndio maana tusi lilielekezwa kwenu peke yenu na hiyo ndo tofauti kati ya Wabongo na Mabudaa, njoo bongo utumie ubuda wako uone jinsi watu wanavotumia ubongo ipasavyo
 
Sasa askari gani unazungumzia na wewe,askari gari ya polisi inagongwa na wavuta bangi wakiendesha matatu,halafu analia[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]chamukwezi tena hatari ndani ya matatu mixer kunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…