Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23]halafu kwani mnauza plot,si nilisikia nafasi zimechwa kwa ajiri kupata uoto wa asili kidogo!!!!ndio maana kuna vichaka cbd!!

Au mmeghaili mnajenga pote[emoji38][emoji38]
City iko planned buda. Pahali pa kujenga pako na pahali pa uoto huo pia uko
 
City iko planned buda. Pahali pa kujenga pako na pahali pa uoto huo pia uko

Sasa mbona nyie hujibu jenerally,kwamba haturundiki majengo sababu tunaacha space ya uoto,as if wengine hakuna miti cbd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…