Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

High learning institutions. Currently, we have 22 public universities and quite a number of private ones .Danganyiks have less than 15

Thats why mnatokea wasomi mpaka wa kariba yako,wewe ni msomi mzamivu wa maua[emoji16][emoji16][emoji16]??au takwimu??
Unaweza kuwa na vyuo vingi,ila vyuo bora ikawa ni tatizo.
 
Hiyo pesa inalipa bloggers wa ccm, kina ichogal na Hao wengine milele
Ardhi yenyewe ya malkia wa uingereza,unafikiri atakupa kwa bei rahisi,nyie mtakaa kibera na nyumba za kurent hadi kufa kwenu..kwa sababu nyie wakenya ni majuha!
 
Ukibishana na wakenya unapoteza muda,wajuaji ,Sana, kujifanya wasomi, ukabila, chuki vimewatawala, hakuna haja ya kubishana na Ma super Vilaza
 
[emoji23][emoji23]halafu kwani mnauza plot,si nilisikia nafasi zimechwa kwa ajiri kupata uoto wa asili kidogo!!!!ndio maana kuna vichaka cbd!!

Au mmeghaili mnajenga pote[emoji38][emoji38]
Ebu nionyeshe kichaka CBD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…