Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy mpeleke taratibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona kaanza kuchanganya na hotelsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nawasiwasi kama ashaanza kuiba picha za oman😁😁
 
I was staying around that place, MbezI beach and I can assure you it has nothing on Mombasa. Actually Mbezi beach is full of bushes and few nice hotels.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti Mbezi Beach iko na Hotels nyingi. Kunduchi na Osyterbay zinaidi mbali Mbezi beach kwa hotels. Name us those hotelsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa umeanza kuhangaika!?

Sema inaitwaje mbona hutaki kusema ahahahah umeshaona nimekukamataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ naona ushaanza kuiba picha za oman ahahahhahahah wanjala
 
Naona kaanza kuchanganya na hotelsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nawasiwasi kama ashaanza kuiba picha za oman😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muache aweke na Hotels🀣🀣🀣🀣
 
Mbezi beach ulifika wap...taja walau hotel ilifikia
LandMark Mbezi beach Dar. Mbele yake kiasi utapata whitesand na waterworld hapo mwisho.

Kihoteli Dar has 100 years to Catch up with Msa.

Eneo yacoco beach kuna nyuma zamaana Mbezi haiko organised at all. Kwenye beach mahoteli zimezibar beach na mawe..

That can never happen in Kenya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muache aweke na Hotels🀣🀣🀣🀣
Sasa kaanza kuiba na picha za oman akisema mombasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi sikupi dar kwenye hotels nakupa zanzibar kama uko tayari twende kzi broπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unashida gani. Sasa vijiji kama hivi unaanza kupost hapa nini!? Umeishiwa!??
Kwanza niambie hapa ni wapi wanjala plz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ picha nyingi tu ushaiba sa oman 😁😁😁 sasa leta na nairobi nikuruhusu bro
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti Mbezi Beach iko na Hotels nyingi. Kunduchi na Osyterbay zinaidi mbali Mbezi beach kwa hotels. Name us those hotelsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tembea na we we ujionee utaambiwa hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…