Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kenya labda..
 
[emoji848][emoji848] Imagine administration centres na embassies zote ziko Dar except Parliament which is in Dodoma. Thats what makes it the Capital city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz is a confused state indeed.
Ministry zote ziko Dodoma now,balozi zinahama sasa,dar kabaki jiwe tu kwa sababu ikulu inamaliziwa kujengwa..msijifanye wajuaji saana!
 
So tulia sasa uendelee kuangalia, acha kulishwa propaganda na wakikuyu. Hawajawahi kufika TZ. Halafu mnakesha kwenye mitandao kutukana, mkianzisha ID na kujiita watanzanai. Hivi mnadhani hatuwajui? Huko kwenye twitter wapo wakenya wengi kweli wanajifanya kuwa wao ni waTZ when you track them unaona kabisa ni wakenya locations zao zipo pale uhuru park. Hawajui hata kutumia VPN.
Do you think we don't know you. Sisi tunawachora tu.
 
Mburura mipango ya Dodoma iwe capital ipo tangu enzi za nyerere hiyo south Africa haijapata Uhuru bado
Nigeria wamekuja kuchukua planning ya abuja hapa..!!
..jielimishe kabla ya kuja kuharisha hapa!
 

Naona unatuonesha meli ya ufalme wa oman musije sema yenu hata zanzibar ilikuwepoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ kinachoistiri mombasa ni port only nothing else
 

Harudi tena na akirudi atakuja na hasira za LDCπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi naishi wapi? Yaani mpaka sasa hivi hamjapata picha zangu. Niliwaambia mnaweza kuwa magwiji wa kompyuta lakini hamnibabaishi. Usidhani Mimi ni kilaza mfikiriavyo
We don't expose personal information only ni watu waoga wanaweza fanya hivyo.
Wewe endelea kuwa na freedom ya kujadili. But if utaonekana kuwa threat kwetu ndio utaelewa.
 
So tulia sasa kumbe unakubali alaf unaongea nnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeshagundua sister Rose alikuwa amelishwa uongo na wakenya wenzake. Sasa ameanza kuujua ukweli. Mwanzoni alikuwa mkali kweli. Kwa sasa amekuwa mpole kweli. Nadhani ukiomba chochote kwake anaweza kukupatia.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ


 
You do. I've witnessed it. That's why I dared you to bring mine. Someone like kabinti won't hesitate to expose them here. If he can bring screenshots of my posts from other forums, I am sure he can do worse than that. That lady is so predictable
Us I told you that in JF we dare to talk thing openly no one care about your personal information. Not like in Kenya talk watu wanaongea kwa hasira na kudhalilishana. But in JF you will remain respected only if you respect others.

Vitabia vya kujikweza na kujiona uko juu while we know you in and out ni upuuzi. You kenyans you need to learn from us.
 
Sijakasirika. Mbona nikasirike na najua Tanzania as a whole iko nyuma bado
Nyuma kwenye slums, police killing, hunger, below poverty line , unemployment etcπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…