What's a capital city??
You even export beggars.what a shame![emoji2][emoji2][emoji2]ona aibu basi,uhuru ameomba mpaka ujenzi wa barabara ya km 20 kule china,huna habari.
Investor decides where to put up his/her industries, the government doesn't direct them on where to put up an industry. Investor will consider the following when putting up undustries
1. Security
2.Market
3.Raw material
4. Cost of production
5.Transport ease
6.Labour
7. Space
I repeat, government does not show investors where to put their industries.
It depends on what you are dealing on you fool and that's why you are a LDCKama kwenu muwekezaji hujichagulia eneo la kuwekeza hiyo ni kwenu ila kwa upande wetu tukiwa taifa makini tena yakinifu la Tanzania hatupo hivyo huku government ndiyo hutenga maeneo maalum ya ujenzi kwaajili ya viwanda na si muwekezaji kuchoose eneo analopenda yeye kwani sikila sehemu ya ardhi ipo kwaajili ya ujenzi wa viwanda
Unadhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga na mpuuzi
Parliament hata Mandera iko nayo [emoji23][emoji23][emoji23], does that makes it capital [emoji23][emoji848][emoji848] Imagine administration centres na embassies zote ziko Dar except Parliament which is in Dodoma. Thats what makes it the Capital city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz is a confused state indeed.
By the time 2030 inafika NBO will be the Dubai of Africa.
Tu, por supuesto. Hadi mnatuma wengine Kenya wakaombe pesa
Huna tofaut na atakaesema amekula keki kwahyo anategemea kunya mavi yenye harufu ya keki muonekano wa keki....Our slums can rival oysterbay and mbezi beach
I like this
It depends on what you are dealing on you fool and that's why you are a LDC
Hizi Ni nyingi Dar
Wonders shall never end.Parliament hata Mandera iko nayo [emoji23][emoji23][emoji23], does that makes it capital [emoji23]
Labda utume wale omba omba wenyu [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nimtume kijana mwenzangu aje kuwekeza hapo uhuru garden park maana naona kuna space kubwa sana imekaa kichaka na nimezipenda taratibu zenu
Hapo nitawekeza kiwanda cha mifuko, ya niron,kuzalisha mbolea na uzalishaji wa nuclear
Tuusan wapi Bagamoyo port?[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi Ni nyingi Dar
Wapi pinako tower?Tuusan wapi Bagamoyo port?[emoji23][emoji23][emoji23]
Pinako ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi pinako tower?
Wewe ndiye mwenye dharau ndiyo maana unashangaa na unaona ajabu kuona waturkana wakiwa wametoa chochote kidogo walicho nacho kwa Tz na hiyo yote kwasababu unawachukulia poa wakenya wenzako,,,katika maisha si tajiri pekee ndiye anayesaidia bali hata maskini pia anauwezo wa kusaidia kulingana na alichonacho swala la wanaturkana kusaidia ni jambo la kawaida sana ..wacha kuwadharau wakenya wenzakoUtoto gani? Hao waturkana ndio walitoa hizo pesa kuwasaidia. That's being selfless mann. Unajinyima angalau wengine wapate.acha dharau