Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We umefika Nairobi?? Ama unadhani Nairobi ni Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tz Hakuna Jam. Fika jiji kuu ndio uone Magari. Nairobi ikiamua kupeleka magari zote Tz barabara zinajaa.
Shida mkiitishwa source mnaanza kushekisha matak@.

Idadi ya magari yaliyopo dsm pekee yakipangwa hapo nairobi unakosa pa kusimama mpaka uende kule unaitaga metro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sawa mda mwingine tunaelimishana kwani hauwezi jiona bora kuliko wenzako angali unapoishi kuna raia wanaishi katika mazingira hafifu zaidi
Vizuri but they need helps not using them in this battle.
 
Tatizo kacity kenu kamejifinya na hakana njia nyingi za michepuko halafu kwa upande wa barabara hivyo vihigh way hamkutengeneza kwa akili mlizijenga pasipo future.....

Na ndiyo maana huwa tunawaambia Dar tuna road nyingi kuliko Nairobi na kwa upande wa transiportation tumewaacha sana tunajua ni jinsi gani yakubalance traffic road ili usafiri uwe wa mpangilio bora wenye kueleweka na elekezi
 
Are you sure you want to go down this road?
Dude, you don't know how much it sucks to defend your arguments with promises and plans. what do you think we are doing? sleeping? we got bunch of on-going projects too which we dont mention.anyways, keep talking cargo bullet trains
 
mie mchina iv kwann wakenya sura zao zimekomaa ka pua za mbwa maaaaaana mtoto wa wa mwez 1 nkama aliathirika na mabom ya uchaguz😛😛


konki konki konki mastar
 
mie mchina iv kwann wakenya sura zao zimekomaa ka pua za mbwa maaaaaana mtoto wa wa mwez 1 nkama aliathirika na mabom ya uchaguz😛😛


konki konki konki mastar
😅😅 huku si utani ndugu... Ni comparison ya The Great Nairobi na Dar Is Slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…