Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza and kisumu are overrated
Serious towns like Dar, Nbo ndio tuko nazo napea sec vote kwa Arusha na mombasa japo kimaendeleo mombasa imeacha chuga
Boss wacha kutumia Kiswahili ngumu ๐Ÿค”chuga ndio ,nini?
 
ukarimu...check the meaning brother...we haber refugees from south sudan, Ethiopia, rwanda and somalia..infact ile ya somalia refuge camp ndio kubwa kabisa duniani
Hua mnalalamika sana kuhusu Hao jamaa, nikama wanawasumbua sana hampati raha kabisa, Waondoeni huruma zikizidi ni Dhambi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wanatokea baadhi ya wapuuzi wakikenya eti nao wanajiona bora

Kweli haya mazingira ni yakujivunia sehemu ni mbovu tena chakavu nazinatia kinyaa yaani zunguka TZ nzima hauwezi kukuta uchafu kama huu,,mathare nairobi,kayole nairobi,majengo nairobi hivi hivyo vibanda kwa jinsi vilivyokuwa na low quality vibaya halafu serikali yenu inaweka watu waishi na ndiyo maana majengo yenu yanadrop hovyo....

STUPID KENYAN STUPID LIFE
AT

NAIROBI CITY
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wakenya wacheni upuuzi wakati asilimia kubwa ya wakenya ni maskini na mnaishi kwenye mazingira mabovu[emoji27][emoji27][emoji27][emoji29][emoji29]
 
Prepared for what? Lemme enlighten you a little
Kenya $88b
Tz $55
Gap$23
Goswallowa razor blade
Bwahaaaa haaaaa cooking maniac..kenya 88??from when..?? Bahati mbaya sijui ku-upload picha..
Ichoboy please help me to upload a picture showing top 10 GDP per capital for Africa..
 
Duh hio middle income status inasaidia nini?
 
Bwahaaaa haaaaa cooking maniac..kenya 88??from when..?? Bahati mbaya sijui ku-upload picha..
Ichoboy please help me to upload a picture showing top 10 GDP per capital for Africa..
kama hujui ku upload picha jf, hivi maana ya GDP utaijua kweli??
 
Yaani ni noma sana ...wakenya niwapuuzi sana wapo na mazingira mabovu sana halafu wanakuja hapa wakijifariji kwa status ya MLDC[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Duh hio middle income status inasaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ