Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar kwa upande wa barabara Mombasa itasubiri sana, project Za barabara ni nyingi mno...suburbs mpya karibu zote zinaunganishwa na kwa barabara za lami ,zile zilizochoka zinafumiliwa wanaweka mpya. ..DMDP Pekee wanaproject ya zaidi ya 250km achilia mbali project zingine...Mombasa haitakaa iweze Dar
 
Ebu leta barabara kama hizi hapa Dar nzima
 
umebeba ufala kwa kichwa. no Kenyan ever thinks of ******** or even ldc tanzania. hamuwezi kuwa mfano wa kuigizwa nyinyi... nchi ambayo inasherehekea ndege, inazindua ukuta, inazindua lifti,,,, ni nchi ya vituko, vimbwanga, vioja, vindumbwendumbwe, vinyago, vibonzo..... ongezea zengine....
 
Acha hasira ni sumi
Ila waweza
Endelea kufuga ujinga,uje ukumeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…