Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Janerose njoo muone huyu jamaa anasema eti wewe unaishi mashinani huko turkana,lodwar huko kwenye funza na njaa
Anasema eti watu wanaomjua aslay ni wachunga ng'ombe,na we unamjua aslay!
Eti Jane we unamjuaje aslay wakati unaishi Nairobi??
 
The same to me namjua odinga tu,simjui kiongozi mwengine yeyote hapo Kenya hata raisi wenu sijui huitwa nani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…