Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] LDC kuweka Bullet train ! Tz pia inapenda kuenjoy watu.
ati bullet train tanzania wapi ndoto hzo
Nyie mkianza sisi hua tunamaliza,by Nov 2019 mtaanza kubadili gear angani kuhusu rangi ya treni ooh blue imepauka ama station gani maua ya pale green hahaha kama nawaona vile mafii inagonga pichuuu mkiskia ujenzi now ni 32%complete and we don't stop [emoji75]
 
Hahahahahahaha, nyanyangu hii ndio Tanzania, mwanzano wenzako walisema Tanzania haiwezi kujenga electrical railway hata kwa mkopo haiwezikani, Leo mnahamisha goli mnazungumzia train.
Tuwategemee wengi kuvuka boda kuja kuonja utamu wa treni ya umeme

Note;mkenya atapanda treni kwa $1000 dar -Moro hii ni zaidi ya treni
 
Let people talk about the soon to come bullet train while we cruising down to the coast carrying 2 million passengers in 1 year lol
The 2 Millionth passenger on Kenya's 1 year old SGR!





with 10b loss hata munegebeba watu million 10 ikiwa revenue hakuna tunaita kwa lugha nyepes shamba la bibi😂😂😂👏👏👇 unafurahia kubeba watu wat about profit??? au sio muhimu

 
Nyangau imeshindwa kulipa bill ya 3k....lol.six pack na views za kununua youtube zikuje zimsaidie...lol.As usual we generous Kenyans tutamlipia aachiliwe halafu muendelee na matusi kama kawaida yenu
 
Well written rubbish in English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…