Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Wakenya wanaomiliki makazi/nyumba zao katika Nairobi ni 10%,wanaomiliki MABANDA ambayo hayana hadhi ya kuitwa nyumba kule Kibera na mitaa mingine kama hiyo ni 50%,wanaobaki 40% wamepanga kwenye nyumba matajiri

Wakati Dar 40% ya wakazi wanamiliki nyumba/makazi yao ambayo ni bora,20% wanamiliki makazi/nyumba za kawaida 20% wanamiliki makazi duni lakini bora ukilinganusha na Kibera,na 20% tu wamepanga

Kwa maana nyingine ni kwamba 80% ya Wakazi wa Dar wanamiliki nyumba/makazi na 20% wamepanga. Wakati Nairobi 10% ndo wanamiliki nyumba/makazi yao,50% wanaishi kwenye mabanda ya Kuku na Nguruwe na 40% wamepanga kwenye nyumba za Mabwenyenye
 
Mjuzi wa mambo, huna lolote ila kujiaibisha, tembea ndio uongee, kushinda kule Danganyika inakudhuru kiakili
 
Kwikwikwikwi nikisoma comments zako huwa naona kama za katoto kadogo kanakojifunza kuongea. I asked you a question hujibu chochote. How big stupid you are. Wewe kichwa chako kimejaa mapovu ya sabuni. Hahahahaha.
hahaaa..while others are struggling with other things,you are struggling with english...hahaa..you have offered english as a burnt sacrifice to God knows what!!!!!!!...."big stupid"......lol..I die
 
Ati "big stupid"...maze kiswahili inakupiga chenga..English Tena maze.. uko na shida....mzazi wako angebet na hizo pesa alikupeleka shule
Kwikwi huna uwezo wa kuongea na mimi wewe. Nimekuuliza swali. Nataka ujibu. La sivyo I will proceed calling you a stupid no. 1 in Kibera.
 
atleast hii yetu ntaelewa juu this is an upcoming cbd yenye roads zinajengwa saa ii uko..with the ongoing rehabilatation of upperhill roads those things wont be there,infact iyo road iliachwa mpaka britam iishe juu excavation ya iyo road ingesumbua ujenzi wa britam...yenu bana iko ndani ya cbd...what the hell
 

Landscaping is going to be done after the completion of this buildings, even now it is ongoing and you cant imagine how the place looks, it seems you are not in Nairobi at this place right now
 
Wakenya acheni ujinga. Nani mtamfanganya kwamba Kenya mmejenga kuliko Dar? Wadanganyeni wasiofika Kenya Nairobi inasifa hii.
Kwanza ......chafu
Pili.....Haina ubunifu msongamano Wa ajabu sana mnatumia old model matatu ya hovyo magari ya hovyo.
Jamu kubwa sana Nairobi mpaka karaha.
Uchafu yaani nenda Uhuru park round about zake utakuta uchafu kila sehemu.
Hakuna jengo lenye ghorofa 45 Kenya hakuna.
Wanasifia saana kuhusu flying over barabara ambazo nonsense ikiwa hamtoi Yale matatu ukiyaona uchafu mtupu.
Angalia kuhusu mawasiliano ovyoo sana.
Kenya bado sana mno
 
Landscaping is going to be done after the completion of this buildings, even now it is ongoing and you cant imagine how the place looks, it seems you are not in Nairobi at this place right now
so you mean those electric poles will be gone and cables will be underground? I will try to dig out after 3 years to see if what you are saying is true.😀 That place look third world man. Chaos.
 
hahaa....do you know the meaning of yapping for no reason?....you are the definition of that.what do you mean by round about za uhuru park?
 
so you mean those electric poles will be gone and cables will be underground? I will try to dig out after 3 years to see if what you are saying is true.😀 That place look third world man. Chaos.
infact ata usingoje three years...britam is going to burry those cables the minute that building is done.na iyo road itajengwa na kura...kama umefika upperhill apo kwa junction ya equity bank headquaters you will understand what i mean...
 
so you mean those electric poles will be gone and cables will be underground? I will try to dig out after 3 years to see if what you are saying is true.😀 That place look third world man. Chaos.
so you mean those electric poles will be gone and cables will be underground? I will try to dig out after 3 years to see if what you are saying is true.😀 That place look third world man. Chaos.

Huyo niwakumdharau kabisa
Kuna Ujenzi wa Kituo cha kusambazia Umeme
Majuzi hapa kimeanza kazi
wapo kwenye Usambazaji umeme Chini ya ardhi
ndio mradi Kababe East Afriaca
Dar pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…