Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwako wewe za kawaida ndio vibanda. Kwangu mimi ni zaidi ya hayo mabanda yenu ya njiwa
yako wapi hayo makaazi yenu basi tuyaone??? tangu thread ianze,,1905, munatuzungusha Posta tu... hamutaki kutuonyesha Mwananyamala Kwa Kopa, Kwa Mfuga Mbwa, Tan Dale, Bugruni..... na kadhalika. ni mchezo wa paka na panya tu huku mukitukashifu kwa makaazi yetu bora ilhali nyinyi ni bora makaazi
 
Majirani mwanzo mgumu
Leo kq wameenda us na abiria 20 smh!
 
We kukaa Eastland unajiona umefika ?
Ni Mara mia na magomeni kulika eastland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…