Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

7 brand new aircraft cash deal hakuna leasing deal endelea kutuletea ndege za watu na kusema za kwenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kwa sasa lina dirmulaina moja. na vi-bombadier viwili. yaani drimulaina ikikupita hivi leo, itabidi uisubiri kesho tena ujaribu bahati yako
 
Shirika lina umri wa miaka 2.ulitaka liwe na ndege mia ngapi???
shirika dogo sana hili,, bado ndio linaanza kutambaa, hata halijaota meno ya mbele. kuiweka kwenye sentensi moja na kq ni kama kuitukana kq
 
shirika dogo sana hili,, bado ndio linaanza kutambaa, hata halijaota meno ya mbele. kuiweka kwenye sentensi moja na kq ni kama kuitukana kq

Ndio maana nashangaa hasira za wakenya kwenye shirika letu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Shirika ni letu,liko na route za ndani pekee,mmepata stroke[emoji854][emoji854][emoji854]
Tumeanza uwanja kwanza na ndege tatu-done

Hatujaanza kusombelea watarii,tukawamwage serengeti kabisa.
 
kwa sasa lina dirmulaina moja. na vi-bombadier viwili. yaani drimulaina ikikupita hivi leo, itabidi uisubiri kesho tena ujaribu bahati yako
si bora ya hzo saba zimenunuliwa mpya tena cash na zenu zikwapi munazomiliki ukizipata nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
keep on eating sukuma wiki kwa githeri,such kind of food you can't afford...so much excuses,ooohh male food,sijui mwanaume kula chips ni very cheap excuses,luckily, we know..
OK. Let's just assume I can't afford. I was only concerned sikuwa na ubaya wowote. It's even healthier to consume that githeri with sukuma you know. Consuming chips on a daily basis could endanger the health of a person. It can cause hbp due to the sodium content, high cholesterol levels sababu zingine zinapikwa using saturated fat,weight gain na ndio maana anaambiwa kuhusu wowowo among other health problems.and maybe he doesn't even exercise.
Githeri and sukumawiki ni chakula kizuri kuliko chips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…