Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo mbona liko wazi,Kenya kumiliki ardhi ni mtihani mkubwa kwa sababu ardhi yote ya Kenya ina wenyewe..huku bongo kijana wa miaka 30 ana ardhi..wakati huko kwenu ni kizungumkuti!!
30 mbali mkuu... ukiwa una adabu ya matumizi ya fedha ndani ya miaka miwili ya ajira ya kwanza unaeza pata plot sehemu iliyo pimwa na hati juu. Tena kamshahara kakawaida tu.
 
Nakwambia hyo bei ya kawaida...sana..ila natka unisiandike mwnywe hyo per month...ama nipe link niangalie mwnywe hyo per...siez shutka na bei manake ni ya kawaida sana
bishana na mm kwa ushahidi na sio porojoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lol. We can only compare Mwanza to Kericho county interms of revenue. Mombasa is just too powerful for Tz towns.
 
Yani n international hawa wasee...wanafahamika sana kw uchawi..mpka CNN...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Lol. We can only compare Mwanza to Kericho county interms of revenue. Mombasa is just too powerful for Tz towns.
Mwanza is extremely rich, you have no idea, when it comes to businesses, this city is something else hizo kiricho county sijui kuchiro kwa walima chai peleka huko, we're talking about a city here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…