Yah,na zinaonekana kufika mwisho wa ujenzi ukitoa hiyo moja ndefu zaidi ambayo haipo katka picha yako.
Halafu utatumia nini kuingia humu kwa minajili ya kuiponda KenyaNikiirudisha ilikotoka itakuwa fare sana
Nikiirudisha ilikotoka itakuwa fare sana
I thought so before but I came to realize how ruthless you are na si mitandaoni tu. Even kwa groundHilo ndiyo tatizo lenu naongea nawe kwa fair play but unatoa ya moyoni yasiyo na misingi wala ukweli vitu unavyoamini si sawa watz tuko fair sana....
Hata hapa Kenya hutawahi sikia nyumba imeporomoka Turkana ama Marsabit. Utasikia Nairobi, Mombasa n.k. Food for thought.kenyan civil/structural engineers and building contractors go to universities to study ignorance and spoken/written english.[emoji23][emoji23]
haupiti mwaka bila majengo kuporomoka.
View attachment 912599
ahahaha we umepata ngapi nidanganye plz😂😂😂😂Naelewa hujui hesabu.
what i see is that jengo moja refu na mengine mafupi under 30 niko sawa sindio😂😂😂😂💉💉💉💉Jiesabie View attachment 912633
Kwani zimeisha??...45 35 30 30 30 30 westy pekee itapiku dar kwa over 30what i see is that jengo moja refu na mengine mafupi under 30 niko sawa sindio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
I thought so before but I came to realize how ruthless you are na si mitandaoni tu. Even kwa ground
wapi huko??Aiseee, yanipasa nihamie huko.
ahahaha we umepata ngapi nidanganye plz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa yaani apo umewaigiza hawa majamaa wanavoongea nmecheka sanaaaHii nayo ni ujinga ya kukuacha nayo iendelee kukukula.
@tuusan ndio hii old cbd hapa ingawa ina majumba mzee bado ni kiboko
Dar ziko 10 sasa ke yote zinafika ngap ??Kwani zimeisha??...45 35 30 30 30 30 westy pekee itapiku dar kwa over 30
Nairobi 3.5MWhat's there to laugh about? Watu huteseka hadi kila mahali duniani. Tz is not that spacial in any way. Kwanza ya Tz is even worse. Out of dar CBD the whole of Tz is a disaster. Any LDC city with a very high population in its city indicates high levels of poverty. Mkue kama Kenya. NBO- 3.5M, Mombasa-1.2M, Kisumu-700k, Nakuru-800k.etc...the other 75% live in the country side.
Ndio maana mnaogopa Posta sana kumbe mnajihami@tuusan ndio hii old cbd hapa ingawa ina majumba mzee bado ni kiboko
Did you get your pills,we afraid to discuss with half-crazies pals. .!I've come across so many heartless Tanzanians here.Mbona mapungufu ya Kenya huwafurahisha hivi ?Niliwaambia mshukuru Mola kwa sababu kifo hakipo Tanzania.
Unaongea kuhusu maghorofa kwani bongo kunayo? Vipi kuhusu zile nyumba za matope ziliopo katikati mwa kijiji cha dodoma?kama mnajenga nyumba za tope hadi majijini mtawezaje kumiliki maghorofa
Nairobi is too short,can not be even compared to Addis!!..kwa hiyo density dar hamuipati aisee
Okey!!..miss.excuses!!!There are some values which I can't compromise in my life and one of them is humanity.have a nice day boy.