Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumaanisha 2 rivers pia haiko NBO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] buda JKIA exists between two countries. Iko kwa mpaka. Syokimau is a neighborhood bordering the airport located in another county but part of NBO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382]
View attachment 912176
Educate yourself more on counties and City counties.
Kunasababu Nairobi ni city county and not just a county. Ingekuwa kama Nakuru county, kiambu,Kajiado na Machakos zote zingekuwa Nairobi county.
 
Tz kuna County gani we Bongolala?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya nikuulize? Naivasha iko Nakuru? ama Nakuru county? Sasa ju wewe ulianza bangi utotoni, jibu hio swali. kuna difference between urban boundary na county boundary churaii.
 

Kwahiyo unapishana na dada zako wakubwa wanaosema nairobi pop ni 7.5 ml peoples!!!!
 
These guys aren't familiar with city metro.....we should forgive them.Nairobi grew beyond its boundaries 40 years ago....that's why you can't notice the difference between Nairobi or machakos,kiambu or kajiado coz most developments have massively spilled over to these other counties...by 2020 the metro population will be 11 million
 
I am speaking in reference to the 2009 census statistics. Its almost 10 years now. The type of constitution by then was also different, today we have counties.
Kwahiyo unapishana na dada zako wakubwa wanaosema nairobi pop ni 7.5 ml peoples!!!!
 

Ni kawaida yenu kuita kijko ni chepeo la mkono mmoja.imagine mna CBD nne by 2020 mtakuwa na sita.

Siku utafika Nairobi take a cub to Thika or machakos town......utaona tu buildings all the way non stop

So!!!!
 
Kenya yote ni Urban tu. I usually see no difference while traveling from Nairobi to Nakuru or Machakos. Nikama umekuwa in the same place all the way from westlands to Limuru. The lights never go off yet you are moving beyond Counties. You even see bypasses connecting 3 different counties.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku utafika Nairobi take a cub to Thika or machakos town......utaona tu buildings all the way non stop
 
Kwa upande wetu huwa jengo likianguka huwa mjenzi anapigwa nyundo 20 ndiyo maana majengo hayaanguki[gemoji1][emoji1][emoji1] kwakuwa nyie ni majirani niwape pole kwanza kwa kasumba zinazowakumba
I've come across so many heartless Tanzanians here.Mbona mapungufu ya Kenya huwafurahisha hivi ?Niliwaambia mshukuru Mola kwa sababu kifo hakipo Tanzania.
Unaongea kuhusu maghorofa kwani bongo kunayo? Vipi kuhusu zile nyumba za matope ziliopo katikati mwa kijiji cha dodoma?kama mnajenga nyumba za tope hadi majijini mtawezaje kumiliki maghorofa
 

Na tunacheka sio kifo kwa jirani au majanga ni mazuri hapana,ila kwa ujinga uliopo kichwani mwa wakenya kama wewe,ni hatari sana mwanamke kuwa kiazi namna hii.

Ni nyinyi hushinda mkibeza elimu ya bongo haina kitu,lakini eng wenu wanaangusha majengo kila siku.

Hapa unasema tz hakuna maghorofa ila nyumba za tope,sawa huu ni upumbavu umeamua kukaa nao,sina neno hapo.
 

County gani ni iko mbali zaidi kutoka cbd na km ngapi??
 
πŸ™€ πŸ™€ πŸ™€ so I am a potato now? I told you people we are civilised. Umewahi ona nikileta picha huku? Usidhani sijui chochote kuhusu Tanzania. I argue the way you argue man. If you ask me stupid quizzes I do the same. Doesn't matter what you think about me. I can't eat pizza while others are eating matoke. Nitayala hata kama siyapendi. I Hope you understand what I mean
 

Kwahiyo unaona aibu kuleta picha ya ghorofa lililoanguka?au hamna ghorofa tz??au hamna ghorofa liloanguka tz???


Eleweka naona unacheza ANAKATITU hapa.
 
yani haitabadilika nairobi city center kua 696km sq hio yenyewe bado mapori kibao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
dont u see the doted line there????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Kwahiyo unaona aibu kuleta picha ya ghora lililoanguka?au hamna ghorofa tz??au hamna ghorofa liloanguka tz???


Eleweka naona unacheza ANAKATITU hapa.
Hamna maghorofa tz.nilikuwa naongea kuhusu nyumba za tope vijijini. Acha kujitoa ufahamu. Ukweli ndio huu, hamjui kinachoendelea kwenu kwa sababu mnatafuta mapungufu ya Kenya kuja kuyaanika humu.Hata MTU akijitia kitanzi kuna wale wamebobea katika hiyo kazi ya kuzileta hizo habari humu. Umewahi ona mkenya yeyote akifanya hivyo? Si mnaweza lialia hadi kwa mods apigwe ban?
Kwahiyo unaona aibu kuleta picha ya ghorofa lililoanguka?au hamna ghorofa tz??au hamna ghorofa liloanguka tz???


Eleweka naona unacheza ANAKATITU hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…