Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujilinganisha na Nairobi ni sawa kuchukua Keki na Mkate ulinganishe ladha,Nairobi ina finished projects nyingi nzuri,alafu sisi ndio tunaanza project tena chache,wakitupatia project zao mpya wanazotaka kuzianza tutakimbia
Wewe ni mtalaam kweli. Jina lako linaendana na tabia zako. open minded Tanzanian. Elimisha wenzako waache kukimbiza vivuli vyao
 
How about citizenship by birth? The Arabs who remained in bongo after liberation .The children they bore. Didn't they acquire it by birth?
Nimegundua nikijadiliana na ww huwaga hamna mwisho. We can go on and on, uzuri hauna maneno machafu. Naomba niachie hapa kwa Leo. Catch me up later, kibarua kina niita.
 
Wind blows a building away!!!!!...wonders won't end!
 
hahahaha.............i dont understand how these mongoloids compare themselves to Nairobi
Wewe endelea kuishi hapo Mombasa. Nairobi unaiyona kwenye picha and you want to compare it with Dar. Uliingia JF na story za YouTube nikasema humu YouTube haina nafasi. Kuonyesha jinsi gani ulivyokuwa mshamba. Ukija Dar lazima tukufunge kamba ili usipotee. Kama Mombasa inakupagawisha what about Kampala Dar and Nairobi???😂😂😂
 
pwahahahaha......................i was last in mombasa two years ago.....keep trying.......kampala nayo toa hapa i was there in 2016
 
pwahahahaha......................i was last in mombasa two years ago.....keep trying.......kampala nayo toa hapa i was there in 2016
Ukifika Nairobi nahama JF😂😂😂 Hapo upo kwenye Quater za Mombasa alafu unaongelea Nai na Kampala😂😂😂
 
You said that people don't acquire citizenship through naturalization that's why I asked about birth. Those individuals acquired through birth but their parents origins is a different case. Maybe I wrote it differently.
The citizenship by birth don't be acquired.don't be confused with their races,hata hawa watanzania weusi nao wana origin zao,tena nje ya Tanzania, ila kwa kuwa wamezaliwa Tanzania, automatically wao wanakuwa ni watanzania na wana haki sawa na hao akina mo dewji,jielimishe!
 
Nyinyi ndio hamuelewi. Hao wahindi na waarabu wako huko walizaliwa na wasukuma ama waspinach?
Unajua Jane hata hao wasukuma ukianza kufuatilia origin zao utagundua wengi wana asili ya nje ya Tanzania, origin haizingatiwi sana ktk ulimwengu,kinachoangaliwa ni citizenships,ndo maana tukatolea mfano obama ,yeye ana asili ya Kenya,lakini yeye si mkenya,ndo maana akawa raisi wa marekani,marekani wanamtambua Obama kama citizen wao,hawamtambui kama mkenya,na dunia yote inamtambua hivyo!hata akipata matatizo yoyote ktk nchi yoyote,serikali ya marekani ndiyo itawajibika juu ya raia wake,na si serikali ya Kenya!
 
Hawa wakenya ni wehu achana nao akili zao zimeganda zimekaa kiubaguzi kabila,,ndiyo maana nchi yao kila siku wanaishi kiukabila na huishia kuchinjana wenyewe kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…