Nora mm niko shallow kwenye bahari
Lol. Ni wanawake hawa. Waoga kurukasasa Susan
so unataka kusema kua hujui ukweliπππππππππ mbona kwenye unemployment rate huja hoji???JIchoboy which school did you attend? 75% of Kenyan population dwell in slums? Oh my!Kumbe tunabishana na vilaza humu.people who went to school to gaze at buildings
Tushaanza kurudi kwenye medani ya riadha,jiwe si wa mchezo mchezo ananyoosha kila sehemu,chama cha riadha cha bongo walilala sana kuufufua huu mchezo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
Mkuu kutubeza kwako ndio kunatupa changamoto,ndio tunaanza ujue,hata mbuyu ulianza kama mchichaati nagai marathon....lol.we only do london boston berlin and chicago
kwanini ajira baadae au ajira ina ππππππππππππππjichoboy uwe unapenyeza jicho lako nje ya huu Uzi maana umekwamilia hapa kama kupe .Naomba unielezee kuhusu hiyo asilimia ya wakenya wanaoishi kwa slums.tutajadili kuhusu ajira baadaye
πππππππππππππjichoboy uwe unapenyeza jicho lako nje ya huu Uzi maana umekwamilia hapa kama kupe .Naomba unielezee kuhusu hiyo asilimia ya wakenya wanaoishi kwa slums.tutajadili kuhusu ajira baadaye
Dar 92% wako kwenye slum.East bado ni giza ,NBO yenyewe ndio 60% slum dweller aibu taslimu
according to nairobiwalker blog au sioπππππππππππππππDar 92% wako kwenye slum.
kweli enhhhhπππππππ munawaza mbele nyuma hamujamalizaTanzanians like arguing out of emotions...but facts remain that kenya ndio babayao ukanda huu. Wanatuchukia kwa sababu hawawezi kutufikia hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Mombasa projects za kishua zimeshika kasi
Kisumu vilevile
Kisii vile vile
Eldoret vile vile
Nakuru pia......real estate na mabarabara halafu nchi ambayo raiya si wawekezaji kama Tanzania wanaota ati watawahi piku kenya......[emoji23][emoji23][emoji23]
Picha za 1980 ndio unapost[emoji23][emoji23]Oh please, no one's falling for some photo-shopped picture, tuonyeshe vitu real kama hiviView attachment 908593View attachment 908594
heheh munataka mambo makubwa madogo hamuyawezi sasa uniambie kwa akili yako ndogo hii ndio MLDC πππππππjichoboy nangoja kutusiwa nyani na brotheltz. Yuko wapi?
Hoyeiah.olelelelee
Alfajiri imefika
Anga inang'aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo la njaa
Naweka sauti ya spika
Niskize UMBEA WA DAR
πππππππππππππUMBEA WA DAR. what doesMLDC mean?
heheh munataka mambo makubwa madogo hamuyawezi sasa uniambie kwa akili yako ndogo hii ndio MLDC πππππ
by the way kuna mmoja wenu alisema 2030 mutakua hamuna njaa sasa mm namjibu kua unless kenyatta+ all politicians bila kusahau settlers wazungu warudishe arable land walime chakula instead yakupanda maua kuuza nje kwa ajili ya matumbo yao, vipi itawezekanaππππππ