Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa umejua jina la tanzania limetokea wapi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23] tanganyika + zanzibar = tanzania wow hahah kazi munayo sana
 
Kwhyo zanzibar hakuna rais
 
from 1964 to date how many years bro????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hata baba yako alikua hajazaliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtawala wa muungano...umenijibu vizuri sasa...Zanzibar kumbe kuna rais...jiwe ni mtawala wa muungano tu...kwhyo tanzania ni muungano si nchi..hhhh
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] !!!nadhani nishaelewa sasa...ukileta zenji hapa ni sawa na kuleta muungano kutafuta back_up...
Yani nchi mbili vs kenya[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwhyo zanzibar hakuna rais
yule ni mwakilishi wa zanzibar lakin rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni magu kiboko ya wakenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]

ushanielewa sasa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
from 1964 to date how many years bro????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hata baba yako alikua hajazaliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
Niletee na mimi kenyatta akitia sahihi na huyo rais wa mombasa..na ilikuwa mwaka gani..angalau nisiwe na shauku tena
 
Mtawala wa muungano...umenijibu vizuri sasa...Zanzibar kumbe kuna rais...jiwe ni mtawala wa muungano tu...kwhyo tanzania ni muungano si nchi..hhhh

haswa kumbe sasa umeelewa na huyo ndio rais wa muungano wa tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
yule ni mwakilishi wa zanzibar lakin rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni magu kiboko ya wakenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]

ushanielewa sasa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 905495
Kama mshakuwa kitu kimoja.mbna wanaendelea kutaja muungano..na tayara ulishasema tanzania ni za+tanganyika...
Mbna wasimuuite raisi wa jamuhuri ya tanzania
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

by the way i have a plot in zanzibar hebu na ww kajaribu kununua plot tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
 
Kama mshakuwa kitu kimoja.mbna wanaendelea kutaja muungano..na tayara ulishasema tanzania ni za+tanganyika...
Mbna wasimuuite raisi wa jamuhuri ya tanzania

kitu kimoja maana yake muungano naona kiswahili kinakutesa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwez kupata muungano mpaka pawepo muunganiko wa vitu viwili na kuendelea [emoji1][emoji1][emoji1]

magufuli ndio rais wa muungano wa tanzania u didnt know am sure[emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]
 
Kama mshakuwa kitu kimoja.mbna wanaendelea kutaja muungano..na tayara ulishasema tanzania ni za+tanganyika...
Mbna wasimuuite raisi wa jamuhuri ya tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Naona kingereza kimekupiga chenga hapo...hhhh

separatist
noun
a person who supports the separation of a particular group of people from a larger body on the basis of ethnicity, religion, or gender.
 
ahahhaa somo limekuingia sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Still still muungano..na itabakia hvo milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…