Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwenye grp la home maid wapo,wamejazana huku Tanzania wanashindana na wamalawi kwenye hiyo fursa
lakini nilifurahishwa na uamuzi wa magu kuwafukuza wakenya nchini nilifurahi sana kwa sasa wana heshima na adabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
upperhill iko kwa mlima and has tall towers thanks for showing us this..kibera is very small..dar is a slum except posta
Acha kulia lia, distance ya kutoka Britam mpaka Kibera ni less than 5km (kwa lugha rahisi yule mzee wa marathon Kipshoge anaweza toka Britam hadi Kibera in 15minutes). Afu population ya more than 700k ni sehemu ndogo hiyo??
 
hakuna sehemu hua wanakosekana kwenye umaskini wapo, unemployment rate wapo, world wide slums wapo, tribalism wapo, no security wapo, thieves and corruption wapo, lack of food wapo, ufisadi wapo hakuna sehem utawakosa
kwa nini uchumi yenu iko chini..kondoo
 
Acha kulia lia, distance ya kutoka Britam mpaka Kibera ni less than 5km (kwa lugha rahisi yule mzee wa marathon Kipshoge anaweza toka Britam hadi Kibera in 15minutes). Afu population ya more than 700k ni sehemu ndogo hiyo??
bro kibera alone ina 2.5m people yani 60% ya all population in nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kwa nini uchumi yenu iko chini..kondoo
si hapo ujiulize unauchumi alaf madeni yako matakoni, una uchumi huna maji mjini huna chakula, huna amani huna ardhi so???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ichoboy unaweza elewa aje yanayoendelea nje na unashinda humu 24/7.ombaombawenu wamejaa nax
 
Wabongo mnapenda kufurahishwasana
wimbo mtamu huu.rose muhando ft Solomon mkubwa.
Umeahidi wewe bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba
 
πŸ˜€πŸ˜€huwezi patikana kwa nyuzi zingine. 24/7 you are here posting udaku from twitter. You must be jobless
 
πŸ˜€πŸ˜€huwezi patikana kwa nyuzi zingine. 24/7 you are here posting udaku from twitter. You must be jobless
shida yako unataka nionekane kwengine ok sweetgirl tutakua pamoja kokote, love u😎😎😎😎
 
Ichoboy Nairobi population is about 3.4 M.Is kibera that big to host 2.5M?
I wish your teachers taught you Geography. You are exposing your illiteracy too much
 
si hapo ujiulize unauchumi alaf madeni yako matakoni, una uchumi huna maji mjini huna chakula, huna amani huna ardhi so???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ata nyie mnadeni kubwa na hanjaanza kujenga sgr...kondoo
 
only in failed state[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…