Umemjibu kiutu uzima sana, we aren't looking to be the best in the world or whatever, we need to improve our standard of living.Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
Hehehe, Mimi nimeanza darasa la kwanza 1997, and 1998 sikulipa karo hadi nahitimu 2003, nakumbuka My Lovely mother alinilipia wakati naanza darasa la kwanza.Free primary and secondary education is brainchild of Moi's government but implemented in 2003 by Kibaki's government. So you can see who copied the other, a difference of 13yrs.
Kwani Nairobi watu kama hawa hawapo? Au hawaruhusiwi kabisa kupita cbd?Close range tena mchana
View attachment 903161
Hadi sasa sijaona kama kuna mji utaweza shindana na Arusha hapo Kenya ukiondoa Nairobi, I travelled all East African cities.Arusha..unamaanish kile kijiji cha bongo...
Dar yenyewe kw mombasa itapumulia mashine kw sekta zingine...
Ask your fellow Kenyans who flocks to Arusha during holidays, they may at least shrink your ignorance.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ilichapa...unajua maana ya kuchapa....
Wasee hyu anadaisha dar imechapa...hhhhhhh...leo naona umekuwa mkarimu kidogo...vp mwanza nayo..haijachapa km wenzake
Duuu... Lazima uwasujudie wazungu, eti " hata ulaya wanaitambua" mtumwa namba moja, no wonder Malema aliwastukia kwamba Kenya is not a free country.Kweli wabongo vilaza...jf vijana wa kikenya wanawapeleka mbio humu ndani...alafu kuhusu elimu..hta ulaya wanaifahamu vizuri elimu ya kenya..ukisomea kenya unafanya kaZi popote pale...ndo manake madaktari wengi wa kenya na walimu wakishahitimu wanasepa..
Iko haja ya huo Uzi mkuu.Dar es salaam vs mombasa+nairobi...coming soon
Hiyo nimaana ya kiswahili hatupingi lakini ukweli niNyie mazuzu mawili mnajua kiswahili kweli!!!!!? kuchapa ni kupiga/kutandika Dar imeichapa au kuitandika Nairobi kwenye kila idara.
Wakileta aerial photography ya Nairobi nitag