Wewe unajuwa maana ya 1 bedroom..kijana wa dar mwanzo hana uwezo wa kulipia 1bedroom kw mwezi..Mwenzako amesha kili kuwa anaishi kwenye chumba cha passport size cause he is single[emoji23][emoji23][emoji23] Na wewe upo Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaishi kwa one Bedroom rent ni about KES 15000-20000 wewe hautawezana na hiyo maisha kakaMwenzako amesha kili kuwa anaishi kwenye chumba cha passport size cause he is single😂😂😂 Na wewe upo Mombasa😂😂😂😂
Majengo ya Nairobi ni old sana. Pigeni rangi
Mazeee...ona huyu msee..analeta nyumba za civil servants za buxton...wooiiii...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe unaishi kwenye hizi Tononoko flats za Mombasa kama mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23] Mwenzako amesha kili kuwa hapa ndoanaishi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 884237View attachment 884238
Machungu yako personal usituletee kama unaishi kwa manyumba mabovu ya pitlatrines hapo Dar usituletee ufalayes leta za mzazi wako. Wewe level yako ya chini. Thus why hata kwenye hii battle umeshindwa kujenga hoja.😂😂😂
Vijana wa Dar they own houses. We dont rent them. 😂😂😂Wewe unajuwa maana ya 1 bedroom..kijana wa dar mwanzo hana uwezo wa kulipia 1bedroom kw mwezi..
11,000 ksh wataeza kwel..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa hizi tononoko flats unazoishi??😂😂😂 You pay that😂😂😂 Ufisadi Kenya unaanzia mbali😂😂😂Wewe unajuwa maana ya 1 bedroom..kijana wa dar mwanzo hana uwezo wa kulipia 1bedroom kw mwezi..
11,000 ksh wataeza kwel..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa hii tononoko flat😂😂😂😂Anaishi kwa one Bedroom rent ni about KES 15000-20000 wewe hautawezana na hiyo maisha kaka
Mzee ungepiga kimya! Unajiabisha, wazungu wana shindana sana, infact ushindani ndiyo umewafikisha hapo. Ungekaa na Wajerumani na waingereza unge ona Dar vs Nai hapa hamna battle ni masikhara tu. Kama ulivyo shauriwa na Kadoda rudi unapo fit hapa unajichoresha tu.Sasa wewe ndiyo unaleta mambo ya kike ya kusutana hapa. Hamna mtu aliyekupangia ila bishana mambo yenye kuleta utatuzi wa umasikini, siyo kila kukicha mara TZ hivi au kenya vile.
Nchi zote hizo mbili ni shida tu, none of them is better than the other.
Mnakaa hapa kubwabwaja tu! Huwezi kuta wazungu wanabishana eti ujerumani better kuliko Uingereza. Yaani upuuzi kabisa, badala kuchallenge serikali zetu kutatua matatizo ya umasikini mnashinda kupondana nchi kwa nchi. Do you think it's worth it what you are doing?
Jamii forum haijakwambia kubishana upuuzi.
owning a slum is an achievement?Vijana wa Dar they own houses. We dont rent them. 😂😂😂
Show us your housekwa hii tononoko flat😂😂😂😂View attachment 884255
hapo ndipo location yako imenipeleka😂😂😂 hiyo ndosehemu ulipo. Your parents are civil servants??😂😂😂Mazeee...ona huyu msee..analeta nyumba za civil servants za buxton...wooiiii...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona imekuuma kuhusu mm kuishi kw one bedroom
Ahsante kwa kuleta imaginarly image😂😂😂View attachment 884269Westlands to Limuru road model under Construction on Nairobi Nakuru Highway