Hivi kiswahili kilikua official language ya kenya mwaka gani vile?Cheki watoto wa kiswahili hao...tena hao si wakali nakwambia...kuna wakali...nadhani ushwai jionea...View attachment 883970View attachment 883971View attachment 883972
mm hua nabishana na mtu mwenye kujua historia kama hujui kua mombasa na kenya ziliungana kama hilo hulijui basi nakupa pole sana👏👏👏👏👏👏👏👏Umeshindwa na hoja[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]niletee kitu km hichi...
The United Republic of Tanzania was formed on 26 April 1964 as a result of theUnion of Tanganyika and Zanzibar. ... In 1953 under the leadership of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, TAA was recognised as a political party and was transformed into the Tanganyika African National Union (TANU) in 1954.
good morning monkeys.. [emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
View attachment 882912
rudi MMU ukaendelee kubishana na wanawake kuhusu mada za mahusiano.Wakenya na wabongo mnajigamba hapa wakati wengi katika hizo nchi wanaishi katika abject poverty, ata mlo mmoja kwa siku unawashinda. Je serikali zetu zimetatua matatizo ya umasikini?
Kila siku kubishana bishana. Sasa mimi nasema kenya masikini na TZ masikini. Wote nchi za weusi matatizo tu wala hakuna unafuu wala uzuri. Watu shida mpaka chooni mnakesha hapa kubwabwaja. Waulizeni masikini wengi wakwambieni kuhusu Kenya na TZ. Na hakika majibu yatakuwa kama matapishi. Hakuna nchi nafuu zote tabu tu.
mbona wewe unashinda MMU kubishana na wanawake kuhusu mahusiano sisi hatulalamiki?. tusitake kupangiana vitu vya kujadili.
kama vipi peleka malalamiko yako kwa uongozi wa jamiiforum.
Nairobi and Dar are not that far apart, or rather Kenya and Tz are not that different development-wise. Ask yourself, Why has this debate never ended. This arguing could have long ended if there was a huge difference, like the Kenya-SA one.
Sasa ulijuaje kama mimi nakwenda kwenye mada za mahusiano kama na wewe ukeshi huko? At least mada za mahusiano zina maana kuliko huu upuuzi wa kupondana. Yaani huu upuuzi unaita mada? Kweli wewe kichwa chako siyo kizuri.rudi MMU ukaendelee kubishana na wanawake kuhusu mada za mahusiano.
jukwaa hili huliwezi.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Sasa wewe ndiyo unaleta mambo ya kike ya kusutana hapa. Hamna mtu aliyekupangia ila bishana mambo yenye kuleta utatuzi wa umasikini, siyo kila kukicha mara TZ hivi au kenya vile.
Nchi zote hizo mbili ni shida tu, none of them is better than the other.
Mnakaa hapa kubwabwaja tu! Huwezi kuta wazungu wanabishana eti ujerumani better kuliko Uingereza. Yaani upuuzi kabisa, badala kuchallenge serikali zetu kutatua matatizo ya umasikini mnashinda kupondana nchi kwa nchi. Do you think it's worth it what you are doing?
Jamii forum haijakwambia kubishana upuuzi.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Sasa ulijuaje kama mimi nakwenda kwenye mada za mahusiano kama na wewe ukeshi huko? At least mada za mahusiano zina maana kuliko huu upuuzi wa kupondana. Yaani huu upuuzi unaita mada? Kweli wewe kichwa chako siyo kizuri.
Are you an idiot?[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Hii thread has boosted my confidence. Nilidhani Nairobi Pako kama manhattan. Anyway ujanja ujanja mko mbali na aggressiveness.our noisy neighbours tanzania ndio wana kelele nyingi
huyu jamaa katoka milembe[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
ujanja mwingi sana😂😂😂Hii thread has boosted my confidence. Nilidhani Nairobi Pako kama manhattan. Anyway ujanja ujanja mko mbali na aggressiveness.
nimeshampuuza tayari... naona anarusha vijembe hewani kama mwali wa kizaramo.huyu jamaa katoka milembe