Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kujaribu kuhusanisha matukio ya kuporomoka kwa majumba jijini nairobi na mpangalio wa ujenzi wa nyumba jijini dar es salaam ni kutafuta excuse ya kijinga.

kitaaluma mimi sio mhandisi majenzi,hata hivyo hainizui kutambua kwamba andishi lako limeegemea zaidi kwenye hisia kuliko ukweli halisi.

sitaandika maneno mengi ya po porojo,nitajikita kwenye fact hukusu sababu inayopelekea majengo yenu mengi kuporomoka.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

 

Attachments

  • IMG_20181001_223856.jpeg
    86 KB · Views: 28
Umeleta muungano..hahaaaaa!!
Nsawa namfaransa kujisifia na vitu vya uingereza eti kisa muungano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We unaijua vizuri Mombasa????..inaonekana hujui hata history ya nchi yako!shame..
 
When a man be happy to live in hostels!shame..
 
Nimeksia Mbeya nao pia ni mji kule Bongoland😀😀zikwapi picha za ule uzinduzi wa elevator ya kwanza😛😛subiri naja

Kumbe nyie kwenu mji kupass status ya city ni mpaka uwe na rifti kabisa[emoji16][emoji16][emoji16],maana bila ghorofa hata moja kuwepo haiwezekani.

Jipe mida upitie vitini kujua ni vigezo gani hufanya mji kuitwa jiji.
 
Mombasa last year handled 1.4 million...u can swallow bitter pills but its afact...it hundles more than KIA...it pains but its a fact..tourists who go to tsavo to see kilimanjoeo,domestic tourists,watamu beach,dianibeach..and transit tourists to Zanzibar makes mombasa have that huge number
 
We unaijua vizuri Mombasa????..inaonekana hujui hata history ya nchi yako!shame..
Wewe ndo wa kunifunza mimi kuhusu mombasa..heheee!!my city my town..subutu...jaribu uone nitakavyo kuchakaza
 
elewa kiswahili vzr nimekwambia kilimanjaro ina handle 1.2m passengers na mostly ni tourists na ukumbuke KiA ina handle over 10 international directs flights

mombasa haizidi hata international direct flight mbili na mostly passengers are locally sijui unaelewa point yangu 😂😂😂😂
 
mwisho utakuja kushindanisha matako yako na ya vera sidika ili tujue kati ya wewe na vera nani ana matako makubwa.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matusi ya nini sasa...shows how foolish and empty minded u are ..no facts at all ..hope your children wouldn't inherit such
 
Kumbe nyie kwenu mji kupass status ya city ni mpaka uwe na rifti kabisa[emoji16][emoji16][emoji16],maana bila ghorofa hata moja kuwepo haiwezekani.

Jipe mida upitie vitini kujua ni vigezo gani hufanya mji kuitwa jiji.
Wayasema wewe hayo
 
Sawa sawa.mombasa 1.4m kia 1.2m..kojoa ukalale
 
Sawa sawa.mombasa 1.4m kia 1.2m..kojoa ukalale
ahahahha sasa nioneshe international direct flight zinazotua mombasa nicheke😂😂😂😂😂

maana kilimanjaro ina over 10 international direct flights😛😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…