Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahaaaa you sound funny sista,we started it by ourselves,so we don't need you Kenyans..
Tanzania pekee ni soko kubwa la mziki wetu,bongofleva inaimbwa kwa kiswahili,ni kwa ajili ya waswahili!
Nenda kawaambie wakenya haya kwamba hamwahitaji pia usisahau kuwajulisha wasanii wenu ulichokisema hapa. Ambia that proud harmonize asije tena Kenya maana yeye ndiye amezoea kufanya shows nyingi Kenya tuone kama atakuskiza. Just go and ask your arti
 
Dah umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nauli ilikuwa tsh 150
Ni history kwa sasa..
 
🙀 my. Where gonna I hide nah? The 💖 less being has just resumed. It just accomplished it's mission today. My hunch was right all along. It was ⏫ to something.

I hope this get to you
I hope you see this through
What can I say?

Some folks are 👿👻🎃💀 ic
 
Hivi west Africa wanatuzidi wapi zaidi? Maana Lagos imetuzidi kiuchumi,Accra inasumbua na Abidjan, are we getting any better?Au blahblah tu ndio tunaweza
Kwa sasa Africa kusini ndio inaweza twambia kitu...lakini kina west Africa tulishaa wapi.
 
naona wame google mpaka wamechoka so wameona ni heri tu wapite kimyakimya.

kwanza sidhani kama wanajua 3D virtual sports enhancements kitu gani... [emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona mnajibizana mbalimbali nimeamua kuwa quote pamoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
My friend tulishatoka huko miaka sasa, bado una hizo picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…