Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Remind them that even that pitch they see isn't in Europe, but here in Tz
Huenda hata hawaelewi.
 
Nitakuja kutembea. Inshallah.
 
Heheee!!hicho kitu kinabeba 14 passengers..alafu cheki hzo graffiti wewe wacha hasira
 
Remind them that even that pitch they see isn't in Europe, but here in Tz
Huenda hata hawaelewi.
naona wame google mpaka wamechoka so wameona ni heri tu wapite kimyakimya.

kwanza sidhani kama wanajua 3D virtual sports enhancements kitu gani... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatu culture bro imeajiri vijana wengi sana...unafkiria graffiti ni ngapi how much wewe
Modern mass transit remains the most efficient and effective way, you need to move out of that.
Hatuwezi endelea na hivyo vidude eti graffiti and nini sijui imeajiri kina nani,
no more!
 
Matatu culture bro imeajiri vijana wengi sana...unafkiria graffiti ni ngapi how much wewe
hata porn industry imeajiri vijana wengi sana huko ughaibuni but hiyo haiondoi ukweli kwamba career ya porn ni ya kishenzi.

ni sawa tu na hiyo culture yenu ya matatu. so msitumie excuse ya kukosa ajira kutetea ujinga. [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…