Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soma hapa historia ya angola wew kumbe tanzania huijui vzr😂😂😂👇👇👇👇

Angolan War of Independence - Wikipedia
Tanzania mlisaidia Angola kivipi? Hio bangi ya Moshi Arusha bado hujawacha kuvuta? Unadhani sijasoma vitabu na kuangalia cinema zinazoonyesha jinsi Fidel Castro Alivyotuma jeshi lake la watu 400,000 Angola kupigana na Apartheid SADF army? Hebu soma the battle of Cuito Cuanavale ujifahamishe. Vita kubwa zilipiganwa 1975 na tena 1988. Baada ya hapo Cuba na South Africa zikasign deal kwamba Cuba wataondoa jeshi lao Afrika ikiwa South Africa wataondoka Namibia na kuipa Namibia uhuru. Tanzania imesaidia kivipi? Hapa sio vijiweni leta data and facts. Propaganda za CCM usilete huku.
 
Hahahahaa eti I find English hard. daddy, I'm a native English speaker. Hiyo Thesaurus tunawaona nayo wengi sana, you are not the first.
 
Just call me stupid and dumb again you son of a bitch and hell will break loose
 
Cheki suspension bridge hyo kijijini...alafu mnaimba daily hapa kuhu madaraja
 
Ila nisikulalamikie sana, perhaps unafanya promo ya kutafuta wanafunzi wa kiingereza maana uko jobless😀😀😀😀😀 lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…