Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanian music in Kenya is slowly losing popularity. Siku hizi musiki wa Tz unaosikika ni Wasafi pekee na sio kama hapo nyuma.
Jibu zuri
Mwenzie anasema Views wengi ni Kenya
sasa kwanini wasanii wadogo Tanzania
Nje ya WCb wana Views wengi kuliko Wasanii wakubwa kenya
ikiwa Tanzania hakuna Smartphone
 
Hehee!!vp kuhusu ule wimbo wa sauti soul wa hello..ushauchwki youtube
 
Jibu zuri
Mwenzie anasema Views wengi ni Kenya
sasa kwanini wasanii wadogo Tanzania
Nje ya WCb wana Views wengi kuliko Wasanii wakubwa kenya
ikiwa Tanzania hakuna Smartphone
Msanii mgani mdogo Tz ana views nyingi?
 
Wewe ni likilaza tu umeshapewa ushahidi unaanza kuruka kama limama,sasa wewe leta hao monkey wenu ambao hawajui kuimba,,,
sasa kilio chote hicho ni cha nini? nimekwambia 90% ya viewers hapo ni Wakenya. ukubali au ukatae, sitaki kujua
 
Heheeee!!unafkiria kenya watu akili zao zote zipo sawa km nyie...
Huez nilazimisha mm ni stream na app ya online ihali kuna youtube, na zngine nyngi tu
Sasa hivi Wakenya wa Jf wengi wameibuka ni Vilaza wakutupwa Du!
Online tv nayo zungumzia Sio YouTube!!
Citizen tv Kenya youtube ina Subscribers 700000+
Wakati Online tv yakawaida Tanzania ina Zaid ya 1m views
 
Huyo diamond mnayemsifia hapa...si ogopa dejays ndio ilimtoa mataani..ndo haachi kutoa shukrani kw wakenya...akili zake kw sasa si za ki ldc..thats y ana refer kenya km hz second home
 
Those musicians are no longer popular my friend. Let's speak about real popular musicians like Diamond in Tz or Nyashinski in Kenya.
Hahahah huyo nyashnki ni nani .....!?? sijawai kumskia kabisa kenya mimi najua tu nyimbo za sauti sol,,,basi
 
ok. bila Kenya, your A-list celebrities are dead as a dodo. kubali tu, you need Kenya to catapult your musicians to higher levels. hata Kofi Olomide agrees to this.
Muulize watanzania amao wamekuja kenya kufanya kazi na ogopa dejayz ndio watoke giza angalau...
Alafu msani bongo bila show kenya huez toka..east africa mpka ukubalike kenya mwanzo ndio utoke..hehee
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
sasa kilio chote hicho ni cha nini? nimekwambia 90% ya viewers hapo ni Wakenya. ukubali au ukatae, sitaki kujua
wewe mama,sasa hao viewers siwange view nyimbo za wasanii wakenya ilizipate view nyingi!??,Hao viewers wa kwangwaru 99% ni watanzania.Ujue usijue!!. ***
 
Tanzanian music in Kenya is slowly losing popularity. Siku hizi musiki wa Tz unaosikika ni Wasafi pekee na sio kama hapo nyuma.
Waambie wasikie maana wanadhani tunazingua. Kazi yao ni kubisha tu ni kama wao ndio wanaishi Kenya. Nilishangaa mwingine akisema eti gospel tunaskiza rose muhando na akina Solomon. Hao watu walilose fame the moment the likes of mercy masika came to the picture. In secular, otile brown is rising and they are claiming he is singing their songs. Watapata taabu sana hawa.
 
Huyo diamond mnayemsifia hapa...si ogopa dejays ndio ilimtoa mataani..ndo haachi kutoa shukrani kw wakenya...akili zake kw sasa si za ki ldc..thats y ana refer kenya km hz second home
Naweka matatizo chini bababanjuka tuu .where is nameless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…