Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko poa sana izo estate zenu,Moshi kuna nyumba nzuri pia sana mjini hadi vijijini,Atleast japo sio town kubwa kama arusha,Arusha ndio kuna estate kadhaa
Upo vizuri sana katika mijadala wala sijaona ukitukanana kama hao wengine. Kama wabongo wote hapa wanaweza kukuiga basi tunaweza kukuzana kiakili na kimaendeleo. Wengi wenu ni mitusi tu
 
Tanzania ina-cities 6 vs Kenya 3,kwaiyo hata mngekuwa na county 1000 zinaweza kujumlishwa lakn zisikutie mikoa hata 2 ya Tz kwa ukubwa.
 
boys will always be boys, i'm a boy too so i know i want i'm talking about.

they couldn't resist the temptation from a beautiful tanzanian girl so decided to ask her for a photo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…