Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Write your reply...duh!!jamaa mnasota kw kweli..bongo mtu kupata ksh mia mbili kw siku ni balaa...ndo manake marikiti mombasa wamejazana nje ya maduka wakiuza mifuko ya shillingi kumi kumi...
 
hajijui kama yeye ni MLDCπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tena kaingizwa na mzungu kimagumashi kisa anaramba inye ya mzungu

hyo hyo mzungu ndo kasema bongo eti uchumi unakuwa vizuri..au pia unapinga kw hilo..
 
hajijui kama yeye ni MLDC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kaingizwa na mzungu kimagumashi kisa anaramba inye ya mzungu
Nataka anifafanulie Ilo neno MDC, Inawezekana ni kitu kigeni kwangu
 
Write your reply...duh!!jamaa mnasota kw kweli..bongo mtu kupata ksh mia mbili kw siku ni balaa...ndo manake marikiti mombasa wamejazana nje ya maduka wakiuza mifuko ya shillingi kumi kumi...
Mh! wakati huo nchi yenu inaongoza kwa population kubwa kuishi under poverty line than Tz sasa sielewi unasema nini
 

sitatoka vp..mbna mwenzio nakuelewa tu vizuri..ukweli ni ldc umaskini hupimwa kw kiwango chini sana..sasa kuna mjadala kwel wa kujipaambanisha na kenya..labda miaka wajukuu wako..na sidhani km itatokea
 
Another liar and arrogant Kenyan in the forum, get your facts straight, 'sista'
Seychelles and Mauritius are the richest. Richer than south Africa.
Only two African countries are MDC. Nigeria and Kenya
Others LDC your filthy country is among the others. Choke now.
 
Write your reply...duh!!jamaa mnasota kw kweli..bongo mtu kupata ksh mia mbili kw siku ni balaa...ndo manake marikiti mombasa wamejazana nje ya maduka wakiuza mifuko ya shillingi kumi kumi...
na kule nairobi wamejazana omba omba toka tanzania
 
sitatoka vp..mbna mwenzio nakuelewa tu vizuri..ukweli ni ldc umaskini hupimwa kw kiwango chini sana..sasa kuna mjadala kwel wa kujipaambanisha na kenya..labda miaka wajukuu wako..na sidhani km itatokea
LDC ni nyimbo ilishaimbwa sana angola ina GDP of more than 120b usd ina population 28m people lakin unaambiwa LDC hio vp inakuingia akiliniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…