Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimependa ushauri wako.
 
Feel at home.

Niambie Azam ni nini maana sielewi kama ni juice au meli au channel ya tv au channeli kadhaa za kulipia. Niko confused kabisa.
 
I know your intention. It's hard to trick me
if i were you, i wouldn't wait to complete that small task i asked you.

wewe ni kivulana cha kikenya kilichojificha kwenye jina la kike.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Feel at home.

Niambie Azam ni nini maana sielewi kama ni juice au meli au channel ya tv au channeli kadhaa za kulipia. Niko confused kabisa.
Hahaha
Btw.
Nilifika pale kawangare niliishi sana pale.
Nikiwa nafanya kazi ya kufunga mitambo flan pale Juntion Mall.
Behind Junction Mall kuna apartment ziko pale.
Nipata demu mmoja anaitw Felister akawa ananipoza.
Haki demu alikuwa mtamu sana alikuwa anaishi kawangare. Nilikataa kwenda kwao. Ila kawangare nilienda kunywa Tusker na Nyama choma.
Funny enough im from Kilimanjaro.

From my childhood nilikuwa nasikiliza KBC nairooooooobi je huu ni ungwana na lernard mambombo tele.
Na katitu kwa sana.

Kama wewe ni mtoto huwezi kumfaham Leornard.
So Kenya is my home.
 
Na wengine hapa wanawadharau watu wa kibera na ndio wanaowalisha walemavu kutoka kwao wanaojitandaza jijini wakiomba mapeni.
kivulana cha kikenya kimeanza kuonyesha rangi yake baada ya kuguswa kidogo kwenye makalio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Na wengine hapa wanawadharau watu wa kibera na ndio wanaowalisha walemavu kutoka kwao wanaojitandaza jijini wakiomba mapeni.
walemavu wangekua ni watanzania mungewarudisha kwao kitambo sana sema sasa hamutaki kukubali ni wenu kwasababu munamuogopa mzungu atashangaa mliingia vp kua MLDCπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Je, nikiupiga mkono wangu picha utaweza kutofautisha na wa kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…