Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah 1tb ram computer ...hio si super computer.. Sijui if it exists.. I need to find it.. Na hamna kiumbe mwenye nayo huku Tz.. Kweli ni kibera exclusive
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa hajielewi. 1TB ram duh. Hiyo ndugu tunaongea na mtu mjinga hajawahi kutokea. Server kubwa inaanzia 64GB.
Huenda jamaa yetu hajui hata kazi ya RAM kwenye computer. 1TB labda anaongelea TB ya ugonjwa.
 
huyo dogo kanipa picha halisi ya elimu ya wakenya....elimu yao imejaa matundu mengi sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huyo dogo kanipa picha halisi ya elimu ya wakenya....elimu yao imejaa matundu mengi sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani inasikitisha sana. Ila tutafanyaje sasa maana hawa ndio jirani zetu. Tutaendelea kuwaelimisha kidogo kidogo. Leo nadhani kapata somo. Atapotea JF siku kadhaa au atakuja kwa ID mpya.
 
Nkt! Sasa Spectre 13 ni kitu ya kuringa nayo. Shika pavilion nikutambue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oh God!! Hili jitu mmelitoa wapi!?
Umeona kifaa hicho kijana. Sisi tunaponunua laptop tunanunua heavy duties na modern. Hiyo kitu huwezi kuijua mpaka nikutajie mimi. Bei yake ni zaidi ya iPhoneX.
 
Yaani inasikitisha sana. Ila tutafanyaje sasa maana hawa ndio jirani zetu. Tutaendelea kuwaelimisha kidogo kidogo. Leo nadhani kapata somo. Atapotea JF siku kadhaa au atakuja kwa ID mpya.
nahisi akipotea atarudi kwa ID mpya kama collomzii....yupo hapa kwa id mpya.

alikula ban za mfululizo toka kwa mod mpaka akili ikamkaa sawasawa. mod wa jf hawataki ujinga.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu wangu!!! Jamaa anaongelea ROM tena!!! Wakenya bana.
hahahaha....kumbe siku zote tumekuwa tuki argue na kilaza.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ROM ya 1TB..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... ichoboy01 where are you my friend.... unakosa uhondo huku. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Man is to error[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa mnataka kunikula ju ya typing error. I meant HDD not RAM. Na when it comes to computers buda! I was born for it tangu nianze kusoma computer has always been a subject to me & now I am pursuing a course computer technology.
 
you are too low guy!! 1 Tb RAM ? that is a supersonic computer for satellites!!
 
Yani duniani kunavituko jamani. Ndiyo maana kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni yupo kwenye uzi huu. Nimegundua. Na huyu jamaa ndiye mjanja wa Nairobi anauwezo wa kujadili na sisi. Sasa tukikutana na wengine si ni kama makondoo tu!!?
 
so you meant to say a computer with 1TB of ROM instead of RAM isn't it?...unazidi kujiweka uchi kijana. aibu kwa taifa la kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…