Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewapa kichapo mkachanganikiwa sasa umeanza kuquote mwenza [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Nimewapa kichapo mkachanganikiwa sasa umeanza kuquote mwenza [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha,wewe ni zaidi ya taira,naomba uelewe Dar ni level nyingine kwanza leo.
 
Wewe unazid kujihaibisha kwanza unafananisha picha nzima na picha nyingine ambayo imepigwa kiubavu,Dar es salaam ndiyo baba wa miji EAC.
Kulia kwako hakusaidi posta iwe kubwa[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Nadhani nimewa entertain ya kutosha......sasa ni masaa ya kulala[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
 
K'nyama kunawekwa lami kila kona sahivi. ..tutakubaliana sahivi Ni eneo la maofisi kabisa maana miundombinu ya msingi inafanyiwa kazi...wale wenye vibanda wajiandae kuuza maeneo
Itawachukua miaka mia moja kuuza haha mabanda
 
nairobi yote imekwisha hapo alaf munataka kimbizana na dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my friend utaumia utapasuka
Hapo hakuna behemoth Westland s,hakuna kilimani, parklands,ngara,endelea kuumia
 
Dogo naona unagagana na lugha ya Mallika ila inakupiga chenga eh.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha yani hata apo tu umeshikwa na wivu
Siku utanyoosha kiswahili nitakutag
 
meanwhile....[emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123]

haters be like "he studied in kenya.... he is not a tanzanian..blablabla" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
POSTA NI GOROFA TATU NOTHING ELSE. SO TUNAWAPEA WESTLANDS OUT OF PITTY JU UPPERHILL NA OLD HAMUWEZANI[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nairobi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Dar Es Salaam vs Nairob+Mombasa ndivyo itafuata.
comrade usisahau dar inapambana na kitu wenyewe wanakiita nairobi metropolitan ambayo inaunganisha county nne za kenya.
so in other words it's dar vs four counties in kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…