Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawautaki utamaduni wao, mkataa kwake ni zaidi ya mtumwa
 
Sasa nlikuwa naulizia hilo la pemben ya skytower

Silijui mkuu, Labda siku nikaangalia board kwa Karibu, il board inayoonekana ni ya Barabara , Pale sasa hivi panapigwa barabara za maana .
 
Mimi haniumi lakini ningekuwa LDC ningeumia mbaya sana, hivi wewe inakuuma kuwa LDC.
kwani unadhani Tz tunafanya nini? the fact that we are challenging you morons proves that we are making new strides
 
Hahahaha thamani ya currency ingeweza kuzuia wamarekani Kwenda kuwekeza China na Japan, au waingereza kuja kuwekeza Kenya, unless you are a fool
A nation's currency matters alot. Mbona South Africa iko more developed than Nigeria yet they have a huge GDP!
 
Mnaona pande la pasi wanalotupigia wachina huko ASIA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…