Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U have never been to kenya period..
 
Next time you export beggars to Kenya we will burn them..watch this space
ingekua ni watanzania mm naihakika mgekua mushawarudisha kwao zaman sana ila sasa ni wenu na hamutaki wazungu wajue kmaMLDC ina beggarsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
do u think kq owned even a single aircraft??? wa usijidanganye ndege zote ziko under leased aggrements na je unajua sababu kubwa mpaka sasa miaka tano kq inaendesha hasara??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
The down trend was due to the 2007 election violence followed by US and multiple countries travel advisories,the burning incidences at the JKIA and security concerns...in 2013 we acquired more planes plus doing some extreme rearrangement on the management..from 2015 the recovery has been on the upscale by opening new routes like direct flight to the US (i wonder when you will reach there)...thank God your prayers are invalid.
 
Homa ya EA
Check out @MsigwaGerson’s Tweet:
 
ingekua ni watanzania mm naihakika mgekua mushawarudisha kwao zaman sana ila sasa ni wenu na hamutaki wazungu wajue kmaMLDC ina beggarsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Your uncle and the wife with your siblings!
 

Attachments

  • On the upward trend..PNG
    114.8 KB · Views: 33
ndugu wewe usitake kujipa matumaini kwenye hakuna wala usijifanganye kua kq ina ndege mm nakupa taarifa ya uhakika utake usitake ndege zote ni leased deal ndio maana knawaendesha hasara leo miaka 5 na hakuna nafuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiswahili kimeanzia pwani ya bahari ya hindi,hasa zanzibar so kusikia kwamba kilianzia mombasa pia sio habari,ila habari ni nyinyi mkaamua kukiacha na kuparamia lugha za watu wengine.
watu wa kuparamia vya watu sisi huwaita malimbukeni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongea nikama Tz iko juu ya kenya na unajua tu vizuri mko nyuma na mbali kwa kila kitu. So kwa hio akili yako gorofa mbili na BRT imetosha Tz kuishinda kenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Keep dreaming.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo umetokwa na cheche kibao sana nchi yoyote ilioshindwa kuleta amani na kuondoa ukabila kwenye nchi yao kaa ujue hakuna maendeleo bali ni failed state
 
hii nchi inaupuuzi sijapata kuonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kiswahili kimeanzia pwani ya bahari ya hindi,hasa zanzibar so kusikia kwamba kilianzia mombasa pia sio habari,ila habari ni nyinyi mkaamua kukiacha na kuparamia lugha za watu wengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenya is the most diversed nation in east Africa. Hilo ndio jambo ambalo hamuelewi! Kuna watu kutoka sehemu mbali mbali as Ethiopia,Somalia, Seychelles,India,Uganda etc... How do you expect us to adupt an all round swahili language ?? So ilionelea kiingereza ikuwe lugha ya kwanza ju its a universal language. Nyinyi na Ubwongolala yenyu mkaweka Kiswahili itumike entirely hadi kwenye education system! na mnajua tu vizuri curriculum mnayoitumia sio ya Kiswahili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa mnasomaje Biology na Chemistry kwa kiswahili?? How??
 
ingekua ni watanzania mm naihakika mgekua mushawarudisha kwao zaman sana ila sasa ni wenu na hamutaki wazungu wajue kmaMLDC ina beggars[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu kama nyinyi ndio tunaita Colonised mind set. Mzungu alikudanganya hakuna mzungu maskini na wewe ukaamini. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tembea Nairobi ama Mombasa ujione wazungu beggers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…