Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujinga ni kwamba you never notice Safaripark Hotel and Kasarani stadium. peleka upuzi bongoland.
 
Ujinga ni kwamba you never notice Safaripark Hotel and Kasarani stadium. peleka upuzi bongoland.
safaripark na kasarani stadium nimeziacha kwa makusudi kwasababu hazipo jirani na homeland japo zote zinapatikana kandokando ya thika highway.


licha ya kukurahisishia kazi kwa kukuwekea tips muhimu, umeshindwa kuniuliza swali lenye logic.

basi niulize swali kuhusu united states international university(USIU) ambayo ipo nyuma ya safaripark hotel.
 
mwaka gani?
 
ku copy nini sasa au nanyie mumocopy SGR kutoka kwa ethiopia ryt??[emoji23][emoji23][emoji23] na mume copy expansion of port from djibout ryt[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahh. Ryt ni a very different Idea my friend. Kenya iko na its own Ideas crafted by its people right from independence. Tuko na a bigger vision called 2030 tangu kitambo, Leaders being elected must choose an agenda to facilitate throughout his term e.g- Moi: Aviation & Agriculture
Kibaki: Road infrastructure.
Uhuru:Railway network/the big 4 agenda.
*Kenya is a self driven country na ndio maana tuko na our very own constitution si kama Tz bado wako ukoloni.
 
basi na tanzania iko na its own ideas ndio maana tumeanzisha BRT bila nyie kujua mukaiga lakin mukafkiri ni kama kula bajia ukija kwenye SGR yetu ni tofauti sana tena ni modern electric bullet train in africa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ agriculture ndio usiongee kabisa tanzania sio level yenu kati ya tanzania nanyinyi wako kwenye ukoloni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ikiwa leo mchina anawatandika viboko na kuwaita donkey kwenye nchi yenu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
mwaka gani?
NB:
here is mzee katiba owner of katiba garage(katiba executive moters)

rafiki yangu ambaye yupo nairobi mda huu, kaniambia mzee katiba bado yupo hai.
mara ya mwisho nilipomuona alikuwa anavuta sana sigara. namuombea maisha marefu. ni mzee mmoja poa sana.
 
Ujinga ni kwamba you never notice Safaripark Hotel and Kasarani stadium. peleka upuzi bongoland.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha
 
Kiswahili mnajivunia kwani ilianzia wapi??? Swahili made in Mombasa kenya kaka!

Kiswahili kimeanzia pwani ya bahari ya hindi,hasa zanzibar so kusikia kwamba kilianzia mombasa pia sio habari,ila habari ni nyinyi mkaamua kukiacha na kuparamia lugha za watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ