ππππππππππππ Ichoboy do you really understand written English. Acha kunichekesha brotherπππ.
Kwan haujui maana ya sub lease mkuuView attachment 871156
nizitafute wapi ikiwa ushahidi huna ππππππππ yani hata kitu cha mwwnaume pia munajisifu nacho kua chenu dahhhUnajiabisha kijana, acha nikuache na hayo. Tafuta hizo ndege mbili nimekuonyesha alaf ujue ukweli.
Look at the two planes nimewaonyesha kijana.Hiv kenya si mnajisifu mnajua kingereza sijui mmesoma.. Hamjui maana ya sub lease au
How many planes do Kq own and how many have they leasedUnajiabisha kijana, acha nikuache na hayo. Tafuta hizo ndege mbili nimekuonyesha alaf ujue ukweli.
tuwe na wivu wakat ndege sio za kwenu na bado munaimba na loss miaka mitanoππππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Umegonga ndipo. Infact ni uwivu tu inasumbua hizi vijidanganyika. Surely! Nashangaa kuskia mtu hapa akisema ati KQ ni ya mzungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] How?? Ni mzungu mgani huyo alinunua Kq
akikuletea ushahidi kua kq owned aircraft nitag bro plzπππππHow many planes do Kq own and how many have they leased
soma hapaπππππππππKQ Boeing 777-300ER and KQ Boeing 787-8
Tatizo lingine hata kiswahili ni mazuzu pia, sijui kama watakuelewasub lease maana yake wewe umenikodishia na mimi pia nakodisha ndio maana yakeπππππππππ
Anha so u have two planes b777 300 na b787 hizo b787 na b777 nyingne mlizo nazo mmekopa.. Na ndo nyingne mkawakopesha oman na turkishLook at the two planes nimewaonyesha kijana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!SGR its not your ambition my friend dunia nzima sasa hvi inajenga SGR toa ujinga
SGR yenyewe mumechakazwa na mchina kindaki ndaki mumeletewa treni za 100yrs ago[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kichwani eti port expansion wewe sijui kama akili yako iko sawa kweli dar port ilianza 1908
inamaana kenya ndio walioanzisha barabara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 871140
na ndiyo maana wanajipendekeza sana kwa wazunguhahhaahhahahahahahaha raha sana kuwa na ndege zako mwenyewe tena umenunua kwa pesa zako mwenyewe .... hata siku kukiwa na tatizo unajua nini cha kufanya
sasa kq kila kitu ni cha mzungu , ceo mzungu, board ya kq wazungu na wahindi πππππππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hawajui [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Leo ndio nimeamini watanzania hawajui Kizungu at all! Ichoboy umeelewa what you just posted??leta any aircraft imenunuliwa na kq cash ukipata nitag nyinyi hua munafanya sub lease my friend[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nenda usome maana ya sub lease [emoji122][emoji122][emoji122]
futa mawazo ya kumiliki any kind of aircraft[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 871142
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!
But all sayed, siongelei History hapa. Naongelea nyinyi ku copy project idea ya Lamu,JKIA expansion,SGR, na Pipeline all ideas originating from Kenya's big 4 agenda! Si mkue creative kama Ethiopia na Rwanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hawajui [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Leo ndio nimeamini watanzania hawajui Kizungu at all! Ichoboy umeelewa what you just posted??
ujanja ni kutumia nafasi! mliona fursa mkashangaa shangaa tukawanyanganya deal la pipeline, mkalaliwa na wachina SGR, sisi tunatengeneza modern SGR zaidi yenu, tuliwaona mnapata watalii wengi kupitia National airline na sisi tukafufua shirika letu kwa fedha zetu wenyewe na si mikopo ya gharama kama ya kwenu. Muda ni hakimu mzuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!
But all sayed, siongelei History hapa. Naongelea nyinyi ku copy project idea ya Lamu,JKIA expansion,SGR, na Pipeline all ideas originating from Kenya's big 4 agenda! Si mkue creative kama Ethiopia na Rwanda.
KENYATTA anawadanganya ni ndege zaoHahahaha yaani kenya airways yote ina-ndege zakukodisha