Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endelea kutudanganya ni 150 km per hrπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† kila mtu anajenga nyumba yake estate ni sehemu inayomilikiwa na mtu mmoja kuwapangishia wengine huku hatujazoea hvo
Wrong!
 
it's weekend, i'm here at this beautiful bar/lounge in dar finalizing the week after going through days of busy schedule.


NB:
vijana majobless wa kikenya wakiona hii lazima watatoa povu.

don't get it twisted kenyans,this is a normal lifestyle of young tanzanians who are employed or self employed. it isn't something that needs argument.
 
Hahaha
 
Sio mbaya mzee japo nimeona makazi uchwara jamaa kakwepesha kamera...Apo nawapa 60%
Wengi wenu mnaishi kwenye flats unlike Bongo


watu wa wastani wamejenga syokimau,ngong,kiambu,ruiru,juja,thika,mavoko,utawala,kikuyu,limuru ,kitengela ,ongata rongai na kiserian.......hizo ndio part of nairobi metro
 
watu wa wastani wamejenga syokimau,ngong,kiambu,ruiru,juja,thika,mavoko,utawala,kikuyu,limuru ,kitengela ,ongata rongai na kiserian.......hizo ndio part of nairobi metro
Sawasawa...mnajitahidi bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…