Hayo ni magari ya biashara.Izo probox mnazipenda sana Kenya? Huwez ona picha yenye magar NBO uikose[emoji23] [emoji23]
so hutaki tupambanishe towns umebadilisha madaππππLeta estates kama umejiaminiπππ
Leta estates nakungoja ππ
oohh my GOD uchafu huo uko nairobi seriousππππ[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] unanikumbusha huruma ghettoView attachment 865766View attachment 865767
We have been comparing CBD's here everyday, leo nataka tutoke nje ya CBD kidogo.so hutaki tupambanishe towns umebadilisha madaππππ
upanga iko wapi hapo tuonesheππ naona umeanza kuchanganyikiwahehe sasa picha zile zile za upanga zimekua karikoo watanzania mnasahau kama nzi [emoji23] [emoji23]
Unajua sana kujihamiHayo ni magari ya biashara.
Come on, how can you compare this to westlands
yani hata kwa CBD hutoboi utajitekenya kisha utacheka tuπππππWe have been comparing CBD's here everyday, leo nataka tutoke nje ya CBD kidogo.
huyo ni mmoja wa vilaza wakikenyaππππππUnajua sana kujihami
The way you are behaving i can conclude that you don't have any estates. Hapo mmchapwa 10-0yani hata kwa CBD hutoboi utajitekenya kisha utacheka tuπππππ
wewe huwez kua na akili mpaka uwe jasiri kwanza umeniambia umeleta porojo ya kujua town zikibambanishwa nikakwambia lugha nyepesi list ur 10 town ww unazoziamini na mm nilete zangu alaf tupambanishe sasa hvi umeona kule umekaia kuti kavu umehamia kwenye estate labda nikufundishe kitu tanzania kila mtu hujenga nyumba yake kwenye kiwanja chake yani kumiliki kiwanja its not a big deal na mtu kujenga nyumba yake pia so ulitegemea mm niache kuishi kwenye nyumba yangu nikakae kwenye estate wakat most estate of kenya ni nyumba za kupanga au unabishaππππππThe way you are behaving i can conclude that you don't have any estates. Hapo mmchapwa 10-0
I can't give Kariakoo any respect, tuliwaambia mlete any respectable building in Kariokoo mkajam.sasa naona heshima kwa kariakoo imepatikanaπππππ jaribuni kwengine sasa
karikoo kwa namna yoyote my friend huiwezi yani kwa namna yoyote ileππππππππI can't hive Kariakoo any respect, tuliwaambia mlete any respectable building in Kariokoo mkajam.