leo nakupa like kaka[emoji2]Wana makelele tu.. on ground hamna kitu! E.A ina potential kuliko block yoyote Africa, to be specific Tz, Ke, Ethiopia & Rw if we play our cards right by 2030 tuta anza kupokea wakimbizi kutoka west Africa.
Hawawez fanya business yeyote bila kuitaja TZ [emoji16] [emoji16] [emoji16]A very interesting Kenya Airways advert[emoji848]
"From a Tanzania sunset to a New York sunrise"View attachment 865479
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji445]mbolea inanuka somewhere, Mbolea ya ngombee[emoji445]chibudii chibudee ๐
Mi bado kijanaa mzee.How old are you!?[emoji848][emoji848]
Uimara { the architecture in westlands is of high quality} don't you agree?Sasa bro kariakoo utailingabisha na nini hapo sebuleni kwenu???
Quality ukimaanisha nini,uimara wa majengo au usafi???embu sema.
Uimara { the architecture in westlands is of high quality} don't you agree?
15 hrs pap! Watanzania mtakuwa mnakuja JKIA kupanda direct flights to US.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]A very interesting Kenya Airways advert[emoji848]
"From a Tanzania sunset to a New York sunrise"View attachment 865479
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona nimengoa text. That's just a typing error (I really type fast) so try to connect the sentence using your common sense. Hio tena unataka kufundishwa mzee.How old are you!?[emoji848][emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Saidieni last born wa familia tusimalize.Nimejaribu sana kufuatilia hili sakata kwa muda sana ilI kujua haswa ni nani mwenye uhalali wa kisiwa hiki, hawa majamaa watauana aise! Itabidi tumsaidie Museven[emoji16][emoji16][emoji16]
Apart from this holed boxes type of architecture ni nini ingine iko kariokoo??? Jengeni vitu spacial bana. Kariokoo haina class infact ni soko sijui hata tunacompare nini hapa plus let's not even go to the streets [emoji23] [emoji23] [emoji23] utatoroka hapa.Kwani wapi umesikia kariakoo kuna jengo lina ufa??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wapi umesikia kariakoo kuna jengo lina ufa??
Savage[emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara ohh kwawaru. Mi hakuna ngoma nachukia kama bongo. Diamond kwanza naskia aty ako na lips kubwa kuliko economy ya Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duh! poleni sana.Nimeshangaa hbr clouds TV kuwa ombaomba wameshindikana kuondolewa dsm.
Mtaa wa Libya mwandishi anaonyesha wamama, wabibi na wazee wamejaa kwenye mavaranda wamepumzika usiku baada ya kazi nzito ya kupambana na hali zao kwa njia ya kutuomba pesa (kazi ya kuomba pesa)
Pia watoto kibao wamezagaa utadhani kuna chekechea ya kata mitaa hiyo.
Mkuu
Shindwa madawa
Shindwa usafi
Shindwa viwanda
Shindwa elimu
Shindwa kuonyesha resatislipu
Shindwa kupeleka yard za magari kigamboni
Ila hawa jamaa kuwarudisha dodoma (wengi wamesema wanatokea huko hasa bahi ) nakushauri utumie mbinu za mtaka RC kukimbiza mwizi kimyakimya sisi wapitanjia tufaidi matokeo tu hata tusipokuona na kukukusikia tutajua ni wewe maana tulikusikia uliposema hutaki kuwaona jijini kwako.
Kwani Kariakoo unafikiri haina buildings zenye mvuto!!!?Apart from this holed boxes type of architecture ni nini ingine iko kariokoo??? Jengeni vitu spacial bana. Kariokoo haina class infact ni soko sijui hata tunacompare nini hapa plus let's not even go to the streets [emoji23] [emoji23] [emoji23] utatoroka hapa.View attachment 865550View attachment 865552View attachment 865554View attachment 865556View attachment 865557View attachment 865558View attachment 865560
Ebu leta izo buildings nione.Kwani Kariakoo unafikiri haina buildings zenye mvuto!!!?
au buildings zote za hapo Westy zina mvuto? ni baadhi tuu, basi hata Kariakoo pia kuna baadhi ya majengo yanavutia... glasses storeys zipo nyingi tuu
hizi ni glass buildings au ni matundu ya njiwa?
tuliza akili budaa ๐๐๐hizi ni glass buildings au ni matundu ya njiwa?