Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wana makelele tu.. on ground hamna kitu! E.A ina potential kuliko block yoyote Africa, to be specific Tz, Ke, Ethiopia & Rw if we play our cards right by 2030 tuta anza kupokea wakimbizi kutoka west Africa.



hahahaahaha ngoja kwanza mchina achukue nchi yao mapema asubuhi ... mchina nanngojwa aapishwe tu
 
Naona wenzetu wameanza kuisifu Abuja baada ya Dar kulimwa kichapo na Mombasa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Maskini.. unatia huruma. Kwa hiyo mmesha legeza mikanda mnamsubiri mchina aje afanye yake. Poleni sana ndugu zetu, tulijaribu kuwa onya ila hamkutusikia.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Unasikianga Kenya povu inakutoka automatically? Yani hungekosa kujibu tena kwa machungu Mkuu ila namba mtazidi Kuisoma kama kawa kama Dawa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Buda. JKIA sio ya kuchezea. Hii kibanda ishindane labda na Isiolo. JKIA is 100 years ahead of this crap.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siona hata kama mnafika 10% ya hii[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
munapambana na terminal 3 lakini wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii kitu ikifunguliwa hanutaonekana hapaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…