wazushi tu mkuu, tabora haijabadilika kabisa, huwezi linganisha na mwanza, ipo vile vile, kwani vibanda kama vile nilivyoacha vya kambi mbaya vipo vile vile kule maeneo ya chemchem, mwanza road kilichobadilika ni watu kuwa wengi lakini nyumba ni zile zile, isevya ni zaidi ya manzese palivyohuku tunashinda kuambiwa eti tanzania ya leo sio ya 90's.
ni kweli au ni propaganda za fisiemu?
i'm a good fan of kenyan music but honestly speaking i don't know this guy.his name is new to me.
i thought the source of his wealth came from music kumbe ni mambo ya family business.
bila shaka wazazi wake watakuwa walishawahi kushika nafasi kubwa katika government wakaiba vya kutosha. pia nahisi huyu atakuwa ni mkikuyu 100%.
halafu watu wa namna hii they are not talented . they do music in order to get attention. they are attention seekers.
hope unakumbuka miaka ile prezzo alivyokuwa na majigambo ya utajiri wa kurithi ilhali kimziki yupo zero mpaka leo.
acha diamond platnumz ang'are.
kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.maybe you missed this, so let me repost it.
Kenyan Musicians are talented my friend. Diamond hawezi fikia huyu.
Just like Tanzanians have Diamond, we have Stella Mwangi who is quite a big deal.
She is an international rapper who, on my opinion she's pretty much made it. Here's why I think so.
She performs in super super big stages with big rappers or just her own shows.
She does the theme songs for big Hollywood movies like:
Bad Moms,
Ballers,
Basketball Wives,
Fox Tv's Rosewood,
big brands like
Samsung,
Tommy Hilfinger
Reebok
Just to name a few...
View attachment 857252View attachment 857253View attachment 857254View attachment 857255View attachment 857256View attachment 857257
View attachment 857259
Hang on there, Look who gave her a shout out on her rapping skills... Non other than Dwayne Johnson - The Rock.
View attachment 857260
Look at how wild the crowds go on her performances
View attachment 857262View attachment 857261
so unakubali kuwa uamuzi ni wako binafsikwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
so unataka kusema watu wa huko wanapenda sana ngono-zembe ili kuijaza dunia na kusahau maendeleo?!wazushi tu mkuu, tabora haijabadilika kabisa, huwezi linganisha na mwanza, ipo vile vile, kwani vibanda kama vile nilivyoacha vya kambi mbaya vipo vile vile kule maeneo ya chemchem, mwanza road kilichobadilika ni watu kuwa wengi lakini nyumba ni zile zile, isevya ni zaidi ya manzese palivyo
Si kila mtu huskiza Bongo.kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
Ni kweli! Naonaga wanapiga sensible tunes! Kiukweli zinagusa, Sauti soul et al too good! Halafu waganda nao wamenyooka sana ktk dancehalls poa!kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
acha nifurahishe ego yako ili tufunge huu mjadala.so unakubali kuwa uamuzi ni wako binafsi
Dancehall mwisho wa matatizo, lakini hata waganda wako vizuri sana ktk hizo sweets!Si kila mtu huskiza Bongo.
Kenya kuna varieties..dancehall hupendelewa sana
acha nifurahishe ego yako ili tufunge huu mjadala.
..kenya inaongoza kwa mziki EA.
..video za wanamziki wa kenya ndio zinaongoza kwa views youtube.
..wanamziki wa kenya ndio wanaongoza kufanya music tour hapa tz, nje ya EA na Africa kwa ujumla.
..wanamziki wa kenya wanaongoza kwa ku generate revenue kuliko wanamziki wa tz.
..diamond platnumz ni mkenya
..wasafi tv inamilikiwa na mkenya
..ali kiba ni mkenya aliyezamia tz
..wanamziki wengi kenya "wanaombwa" na wanamziki wa kitz kufanya music collabos.
..matamsha mengi makubwa ya mziki hapo kenya huwatumia wanamziki wa kikenya pekee bila kuchanganya wanamziki toka tz.
..mziki wa kikenya ni mtamu sana,sexy and romantic kuliko mziki wa tz.
hope nafsi yako imeridhika sasa.
case closed.
na wewe unaamini kuwa mziki wa kikenya ni bora sana kuliko wa kitz?.Ni kweli! Naonaga wanapiga sensible tunes! Kiukweli zinagusa, Sauti soul et al too good! Halafu waganda nao wamenyooka sana ktk dancehalls poa!
nimejibu kistaarabu sana. hope umefurahi mzee baba. [emoji23] [emoji23]umejibu kwa jazba kweli...
Yeah naamini sana, bongo tumekuwa sana na nyimbo za mapenzi, lakini pia vionjo vyetu havijakaa ki proffessional sana, from my own perspective though!na wewe unaamini kuwa mziki wa kikenya ni bora sana kuliko wa kitz?.
sauti sol kwa sasa wanatembelea rim. game yao ishapita.
Mchina kafukuzwa kwa kutukana lakini clip mbili zingine nimeona mzungu anamchapa makofi mhudumu wa hotel lakini sikusikia chochote
Tuwe na ujasiri hata kwa wazungu au ni kama kawaida kumthamini mzungu zaidi
Huyo mchina ilibidi afungwe kwanza halafu asafirishwe
Pia tunasubiri ya mzungu mtuambie mliendelea kumtandikia chumba chake na kumbebea masanduku siku anaondoka?
Mzungu alchapia makofi mhudumu Kenya?
kwa EA especially kenya bongofleva is unavoidable, whether you like it or not.Si kila mtu huskiza Bongo.
Kenya kuna varieties..dancehall hupendelewa sana
umesahau Ali K. ameoa mKenya? hivi kwani bongo hakuna warembo???nimejibu kistaarabu sana. hope umefurahi mzee baba. [emoji23] [emoji23]
hajaoa kenya, ali ameoa mombasa.umesahau Ali K. ameoa mKenya? hivi kwani bongo hakuna warembo???
Ex wako Mmeru alikuwa ugly?hajaoa kenya, ali ameoa mombasa.
tangu lini kenya imewahi kuwa na wanawake warembo au wanawake wa kuoa?.[emoji23] [emoji23]
alikuwa ni mrembo but haikuwa kazi rahisi kumpata since katika wanawake 20 wa kenya mrembo anaweza kuwa mmoja tu.Ex wako Mmeru alikuwa ugly?
yaani mazingira uliyopo wewe yana nafuu kuliko kule aisee, hiyo tabora mjini haijabadilika kabisa, soko lao ndio vile vile tangu miaka ya 90,kwanini tena usirudi? 😀