Hapa JF wanatakiwa kufanya kitu kuhusu hawa watu, totally unacceptablenadhani kwa issue ya logo na rangi ya tanzania railway cooperation umeshafanuliwa vizuri na umeelewa kuwa hiyo rangi ndio ilikuwa inatumika tangu enzi za nyerere.hatuja copy toka kwenye sgr yenu.
sasa tuje kwenye issue nyingine inayohusu application ya jamiiforum na application ya ile forum yenu ya kenya(i can't mention it here because for some reasons, jf admin doesn't allow it). at the end we will know who copies who.
jamiiforum published its application in year 2012 and your kenyan forum published its application in year 2018.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859271
View attachment 859272
tukija kwenye interface, developer wa application ya forum ya kenya ameiga kila kitu toka kwenye application ya jamiiforum.
you can't even differentiate the interface of kenya forum with the interface of jamiiforum. everything look the same. copy and paste at its best.
this is me when i'm in jamiiforum via the app.
View attachment 859280
View attachment 859282
and this is me when i'm in that kenya forum via its app.
View attachment 859283
View attachment 859284
hope umejionea vile wakenya mnavyo copy toka kwa watz.
case closed.
kibisa yaani... jamaa wame kopi kila kitu. hili jambo walilifanya miezi michache iliyopita wakati jf ilipotoweka hewani.Hapa JF wanatakiwa kufanya kitu kuhusu hawa watu, totally unacceptable
upo duniani kijana?. utachekwa.Nguvu ya taifaa, kinywajii safiiiiView attachment 859290
waache wajiliwaze 😀😀😀Naona watanzania tunazidi kujitutumia, eti Dar na Nairobi, serious? Maskini ni Maskini tu, ipo siku tutakuja kuipambanisha Dar na Cape Town.
pole sana ila vumilia tuNimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
Unaijua vizuri Nairobi kijana au kasumba za miaka ya 80 bado unazo, Nairobi iliiacha Dar then nadhani vita ile na Iddi Amin olikuwa chanzo cha Dar kuzorota, kwa sasa wanaisoma number vizuri sana Dar is growing like a hell, kwa bahati nzuri nimeishi sana Nairobi, hilo jiji Sio kama unavyofikiria wewe leoNaona watanzania tunazidi kujitutumia, eti Dar na Nairobi, serious? Maskini ni Maskini tu, ipo siku tutakuja kuipambanisha Dar na Cape Town.
unadhani wanafaa kuadhibiwa namna gani?Kwa kweli walioupa jiji Tanga wanapaswa kushtakiwa kwa cheating na hujuma
uwe unaweka signature kwenye picha zako, kwa faida yako, ni nzuri sana
Asante kwe ushauri huo muhimu sana, ila picha hizo sio za kwangu, huwa naweka signature ambayo ni "fact photography"kwenye picha zangu binafsi.uwe unaweka signature kwenye picha zako, kwa faida yako, ni nzuri sana
i'm a good fan of kenyan music but honestly speaking i don't know this guy.his name is new to me.Finally someone from nairobiwire.com writes an article about this rich spoilt brat[emoji23][emoji23]
There’s a thin line between being rich and being a rich A-hole, and Kenyan hitmaker ‘KRG the Don’ easily crosses this line.
The dancehall hitmaker is undoubtedly one of the wealthiest artistes in the country and has never been one to shy away from showing off. While his music and forced Jamaican patois accent can be considered by most people as wanting, his deep pockets are not, making him the worst kind of a braggart.
He is known for shooting costly music videos, rolling in some of the most expensive rides, buying his wife cars on her birthdays, and generally, blowing money fast like the baller he is.In a past interview, the hitmaker explained his vast source as wealth saying his family, especially parents, “saw the potential in me and they invested.”
“My money comes from business. I am into construction. I have a company called Kilions Group that builds roads and buildings together with my partner. I also have a tours and travel business called Taraja Safaris where we do ticketing, safaris and car hire. I also have a transport business under Wallstreet Corporation that runs the business of commercial lorries like trailers and tippers. I have other investments too.”
In fact, KRG the Don, who founded Fast Cash Music Group to record his own music, claimed he is more than a millionaire.
“I can’t say I am a millionaire. Maybe a billionaire, because of the land I own. The cars I have could be the equivalent of millions in value. I own all the cars I have including a Chrysler 300C, which is a 2008 model. It’s not as expensive as people think. In total, I have about six cars that I drive including a Land Cruiser VX V8, the 2014 model, which is the most expensive in my collection,” said KRG in 2015.
The ‘Mr International’ hitmaker now has a new whip in his ostentatious collection of cars: a black Mercedes-Benz CL63 AMG worth an estimated Sh15 million.And the ‘Lamba Lolo’ hitmaker has been disturbing the peace on Nairobi streets with reckless abandon and in accordance with his bad boy image.
KRG even had the guts to share clips of his illegal shenanigans on his socials, which show him performing ‘doughnuts’ in traffic in the middle of the night.
“BadBoy games wid my TOY #AMG || so many doughnuts inna backstreet || Badness str8,” KRG captioned one clip.
In another clip, he bullied a dog that was just minding its business and wrote: “I bet that dog had a story to tell other dogs if they tell each other stories.”
But his most outrageous act of rich A-hole happened in broad daylight as KRG the Don burnt out his tires in traffic and left the motorist behind him in a helpless cloud of smoke.
KRG the Don joked: “Am giving people free shisha in traffic.”
Watch the clips below. The rich A-hole doesn’t even seem one bit bothered by the fuel crisis in the country.
Video Player
00:00
00:00
Video Player
00:00
00:00
Video Player
00:00
00:00View attachment 859374View attachment 859375View attachment 859379View attachment 859374View attachment 859375View attachment 859379View attachment 859381View attachment 859384View attachment 859385
Hio tower ni ya derm? Wale
Siku utapata Mwanza inakaa hivi ujue Nairobi ni Dubai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MOMBASA
dola kuu
akionyesha unitag plsonesha specs of ur phone tuone😂😂😂