Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we albino muncher usiingize mambo ambayo hayapo au hayakukusudiwa...ujinga wako staki mie...bei ya vitenge pelekea mamako...umeskia nina haja ya kujua bei?
Hahah. Ukiwa na njaa kumbe una hasira hivyo. Tanzania na rwanda tulitaka kuzuia mitumba and we're still debating. Kenya hawawezi acha vaa mitumba
 
bla bla bla pelekea nyanyako..staki kujua bei ya jambo lolote mimi....sijui mtumba sijui vitenge...kwani nimekuuliza? au we muuzaji vitenge umeamua kupeleka biashara mitandaoni?
 
Kenyans are so funny
 
Maeneo kama hayo sio yakwenda unanjaa njaa ,same as Upanga, Mikocheni,Masaki,Posta, Oysterbay,Kariakoo kama unataka plot lazima umwage pesa...hapa sijasema kiasi najaribu tu kuweka uhalisia wa mambo !!
 
yap hapo ma foreign investors sana sana ndio huwa wananunua ardhi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wakenya tunatesa watu hukuinje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…