Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After Hass(300m++ U/C) started their, County Pension Fund walisema they have one cooking, they said its over 300m pia
CPF tower
 
Guys check the previous 2 or 3 pages. I have uploaded some projects in Nairobi. Have a nice day
 
Mm nataka uniletee hio link nataka kujua mwaka wa hio link sio unapost tu kamaa wewe mwanaume kweli niletee mwaka wa hio link ulio copy paste hahahahahhaha huko tulishapita kitambo sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
chenye nimejifunza leo,, Bongolala hawajui meaning ya Informal/ Unplanned Settlements. hahahahahaa. nakufa na kicheko tu. Informal au Unplanned Settlements ni SLUMS. of which Dar is SLUM yote ni S.L.U.M.
Now you know. hakuna pingamizi hapa.
Unajipa natumaini wenzako Jana walitoa mapovuuu huku wanalia hahhahahhaha leta links za 2017 hapa kama wewe mwanaume ulietahiriwa hutoki humu unajifanya unajua kuongea sana sasa kaniletee link ya 2017 inayozungumza kuhusu dar hahahahahahahπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huu mwaka unaitwa unbelievable year
 
thanks for the advice, i will consider working on it in year 2080 if i will still be alive.
Am a Tanzanian like you
Ila naona unapoteza nguvu kwa mambo ambayo hayana mashiko
I hope nobody enjoys yur post coz those things happen anywhere

Kuliko kupoteza nguvu zako kupost hizo coments bora upige picha ya some good streets in Dar utupie humu, otherwise your not helpfull
 
Hata sisi tunapeoject kibao lakini hatuzieki hapa kwasababu bado hapa weka ongoing au completed hehhehhehe

It seems aliyeandika hii post kakosea au wewe ndio unayejua zaidi. Kazi yako ww ni kuzungukazunguka tu and you produce zero content to this thread. Haya, soma tena post at point no. 5 kisha ukimye. And btw, hauezi ongelea kitu ambacho hauna au hauwezi kukipata. wacha walio na uwezo kuzipata waongee.

Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. FUTURE PROJECTS PROPOSED.
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

Kama kiingereza kwako ni shida, enroll katika shule ya ngumbaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…