Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani mpaka unajionea aibu mwenyewe. Punguza povu v
Kijana kisha tumia akili yako vizuri la sivyo utaonekana punguwani. Umewekewa picha zaidi ya mia wewe unakuja na povu na maneno meeeengi kama mkazi wa kwenye slums za kibera.
Dude do u own jamii forums...vitisho baridi utapelekea mamako na ndugu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just upperhill, hata bado old CBD ama Westie,

sijui tuangalie westlands kidogo?
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] I have just gone through Addis Ababa vs Nairobi video na nimerealize interms of Infrastructure Addis comes number 2 After Nairobi & here's the list.
1. Nairobi
2. Addis
3. Dar
4. Mombasa
5. Kampala
Hio ndio top five tuseme ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Dar, we've CBD, Upanga and Kijitonyama
Hizo sehem tatu kwa ukubwa wake na kulivyojengeka zinatosha kuzitoa jasho hizo mnazoziita CBD zenu
Kumbuka CBD ya Dar ni comprises of Posta, Kivukoni, Kisutu and Mchafukoge
Hapohapo Kariakoo, Mnazi Mmoja na Gerezani sio CBD
 
Leta hiyo kivukoni tuone
 
Hatuongelei quantinty [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kibera nikubwa but tunaongelea quality the value of upperhill is soo high that international companies are scrambling for it. This is what we call quality[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wharrathese???
 
Infrastructure wise mombasa is ahead update your list

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upanga and kijitonyama arent even close to hurligham and kilimani...u will compare that with umoja and buruburu in eastlands

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…